Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanabodi, Baada ya Serikali kufuta matumizi ya mifuko ya plastiki nashauri tuanze kupaza sauti kwenye filamu na muziki kwenye mabasi ya abiria yanayoenda mikoani. Filamu hizi hazijapitishwa kwa...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Hawa jamaa wanaishi karne ya ngapi sijui. Sijui wamerogwa? Wako rigid. Hawaendani na muda. Ofisi ya Utawala ni ya hovyo, yafanya kazi kwa mazoea. Ukipata ajira leo, utasota sana hadi uingie...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
PERMACULTURE Nimegundua vitabu vingi vya Permaculture duniani kote, vimeandikwa kwa kiingereza, kijerumani, na lugha nyingine ambako zaidi ndiko kazi za Permaculture zilikoanzia na zinakoendelea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
TANZANIA NA PROMO ZISIZOKUWA NA MAANA. Wakati Wiki iliyopita Rais wa Ufaransa akiwa Kenya wakenya walijitahidi sana kuhakikisha kuwa amepanda Gari lililoundwa nchini Kenya na waliipa promo sana...
37 Reactions
157 Replies
11K Views
Habarini za majukumu ya kulijenga taifa! Niende moja kwa moja kwenye mada ...Nimepita katika tovuti ya tamisemi nikakutana na chapisho la mfumo wa SELFORM ambalo linawataka wahitimu wa kidato cha...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Naliona kitambo tu limekamilika hili jengo linalotazamana na ubalozi wa marekani na GSM mall hapa oysterbay lakini hawataki kuhamia kwanini? Hata zile kota za pale mikocheni karibu na ofisi za...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hello bosses.. Teknolojia baada ya kuharibu social interactions kuanzia miaka ya 2008 na kuendelea hasa hasa kupitia mitandao ya kijamii, games etc kwa kufanya watu wawe wanapoteza mda mwingi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma leo ameongoza doria jijini humo kuhakikisha maandamano ya ACT wazalendo hayafanyiki. Kamanda Muroto amesema imekuwa heri watu hao hawakutokea barabarani maana...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mahakama imeingia kwenye kashfa nzito, Inasemekana Jaji Mmoja mmoja mabye pia mke wake ni jaji, walikuwa na kiwanja walichonunua kwa laki 3 huko kinyerezi mwaka 2007 na sasa wakati mahakama ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Karibu na Geti la kuingilia ofisi ya Waziri Mkuu ya Magogoni kuna mashimo makubwa sana na yanasababisha kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara hiyo Kwani wahusika hamyaoni? Hapo ni eneo nyeti...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tabora. Kuuguza mtoto wao kwa muda mrefu inaelezwa kuwa ndiyo sababu ya wanandoa, Amina Juma na Kanuno Tano kujiua. Kwa mujibu wa Adam Kalonga ambaye ni babu wa Amina, mtoto Chiku Kudona (miezi...
9 Reactions
39 Replies
6K Views
Kutokana na repoti ya CAG, kuna watu katika nchi hii maskini wanaishi kama hawapo Tanzania wanapopata madaraka. Maskini wanalia kwa kukosa mahitaji, watoto wanasomea chini ya miti, walimu hawana...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naishauri serikali yangu sikivu kuachana na mfumo wa sasa wa kutegemea halmashauri husika kulipa pesa za likizo za watumish wa umma pamoja na kupanda madaraja ya mishahara Hii ni baada ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Leo nimewaza sana, haya mambo inabidi tuyaangalie Huyu Rais ana kasi kubwa ya kuleta maendeleo hivo hatuna budi kumuunga mkono japo aweze kuikokota hii nchi hadi ifikie maendeleo ya juu...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Mkurugenzi wa mji wa Babati Fortunatus Fwema. Mkurugenzi wa mji wa Babati Fortunatus Fwema amewataka wakazi wa mji wake kuhakikisha wanajiaandikisha ili kupata Vitambulisho vya Taifa zoezi...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Kuna post ili surface last year may, ni tweet ya mtu anajiita Daud balal, tuliiiona tuka discuss tukaachana nayo cha kushangaza juzi le mutuz kapost kwenye page yake ya insta anadai ni chadema...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wananzengo kama kuna Mzalendo humu amewahi kuziona 1.1 billion zinafananaje tafadhali, msaada! Aweke hapa kapicha tuzione! Na kama wapo wale wanaoweza kuielezea 1.1 billion katika lugha ya picha...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna mashimo makubwa sana kwenye barabara ya kutokea Ferry hapa Dar karibu na geti la Ikulu yanasababisha foleni sana. Wahusika kama watapata hizi taarifa tafadhali sana watuwekee hata mawe...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Mchambuzi wa mambo ya siasa Deus Kibamba amesema mnyororo wa mafisadi nchini umepungua lakini hao wachache waliobakia wanafanya wizi wa kutisha. Kibamba alikuwa akiielezea ripoti ya CAG wakati...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom