Ni kwanini habari ya treni kupinduka haikuwa na uzito kwenye vyombo vya habari?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
Nimeshangaa kuona hii habari kutoka millardayo leo tarehe 1 wakati hili tukio limetokea siku tatu zilizopita. Nimetafta hata post yoyote inayozungumzia hii habari humu JF sijapata. Inamaana maafa ya namna hii sikuizi hayana uzito kiasi hiki?
d20567b124a46fdd2b88b5beed83ac3d.jpg
 
Smply sababu hakukuwa na umwagikaji damu.
Mimi nimeshangaa kuna mtu leo ndiyo amejua baada ya mimi kumwambia.
 
Kwani ni lazima watu wafe ndyo ibambe kwenye vyombo vya habari? Vip kuhusu hasara iliyotokea apo?
 
Kwasababu hamna kigo kilichotokea..
Hakuna kitu kizto dunian kama uhai wa binadamu..
 
Watu wanaogopa matusi na kebehi za mwenye nchi yake ! Wataulizwa alipo omba kura alisema treni ita anguka ktk hicho kijiji? Reli wao,kupanda treni wao,ajali wao hata kufa wao.watajibu nn ? Cbara wakae kimya na majonzi yao?na vyombo vya habari navyo vinaogopa ruvu mtoni,na kiroba cha mawe.
 
na leo kuna taarifa mbaya, kuna watu takribani wanane wamepotea baharini wakiwa wanatoka kilwa kivinje kuelekea kisiwa cha songosongo.... tangia jana hawajulikani walipo kivinje hawapo na songosongo hawajafika....
 
Yaaan hata mimi nimeshangaa.., yaan imetangazwa as if ni pikipiki imedondoka.., kumbe ni treni..!!
 
Nimeshangaa kuona hii habari kutoka millardayo leo tarehe 1 wakati hili tukio limetokea siku tatu zilizopita. Nimetafta hata post yoyote inayozungumzia hii habari humu JF sijapata. Inamaana maafa ya namna hii sikuizi hayana uzito kiasi hiki?
d20567b124a46fdd2b88b5beed83ac3d.jpg
Jpm hakuwepo
 
Watu wanaogopa kuitwa wachochezi!!! Kuna mtangazaji wa ITV aliwahi kuwekwa ndani na mkuu wa Wilaya kwa kuonyesha watu wakiandamana kwasababu ya uhaba wa maji, sijui kesi yake imeishia wapi yule jamaa, huenda atafungwa jela
 
Back
Top Bottom