TBC mnajilewa kweli?

TBC mnajilewa kweli?

Sukari Yenu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
1,698
Reaction score
1,261
Wasalaam,

Hili shirika la taifa la utangazaji sasa limekua kero tupu. Nimerudi home nimekuta wanaangalia habari TBC, asee nimeona kichefu chefu, mtangazaji sijui amevaa gauni, sujui dira aka dera, yaani unprofessionally kabisa. Halafu watangazaji wanafanya make up wapi sijui, maana hawavutii kuwaangalia hata chembe. Wanapaka vibaya hayo malips shine mixture wanja khaa yaani muonekano mbaya. Maripota nao hovyo tu

Mi wananijua sipendi kuangalia hii station hata kipindi kimoja. Nikaamuru itolewe mara moja. Ila nikaona nishee nanyi nilichokiona.

Baba Magufuli pitia na huku TBC, heshima ya hili shirika imepotea. Turudishie heshima ya shirika letu hili, tupende both radios and TVs zake. Kwa sasa ni aibu hata kuisimulia.
 
hiyo tv ya chama hata picha zao utadhani ni mwaka 1970, naamini hata watangazaji wa pale wakiwa nyumbani taarifa ya habari hawaweki tbc, wajifunze kbc na ubc wenzao wanajiendesha kisasa!
 
Wasalaam,

Hili shirika la taifa la utangazaji sasa limekua kero tupu. Nimerudi home nimekuta wanaangalia habari TBC, asee nimeona kichefu chefu, mtangazaji sijui amevaa gauni, sujui dira aka dera, yaani unprofessionally kabisa. Halafu watangazaji wanafanya make up wapi sijui, maana hawavutii kuwaangalia hata chembe. Wanapaka vibaya hayo malips shine mixture wanja khaa yaani muonekano mbaya. Maripota nao hovyo tu

Mi wananijua sipendi kuangalia hii station hata kipindi kimoja. Nikaamuru itolewe mara moja. Ila nikaona nishee nanyi nilichokiona.

Baba Magufuli pitia na huku TBC, heshima ya hili shirika imepotea. Turudishie heshima ya shirika letu hili, tupende both radios and TVs zake. Kwa sasa ni aibu hata kuisimulia.

Mkuu, basi sikiliza hata TBC International [95.3 Dar], you'll never regret my advice.
 
Yule mkurugenzi ni tatizo yaan vipind havivutiii kabisa kuangalia
 
Umenikumbusha mbali sana hivi hili shirika bado lipo maana mara ya mwisho kuangalia lilikuwa linajiita TVT.
 
TBC shida / jipu hili limeiiivaa lakini naona litaoza tu bila kutumbuka mpaka mgonjwa atakufaa
 
Jamaa wanaongea broken wale nao.

Sent using my Nokia Torch
Yani katika TV zinazo nikera ni TBC mojawapo, sijui huwa wanafanya make up zao wapi hat, uvaaji hat kwa wanaume wa hovyooo kabisa yaani hutamani hata., kwani hawaangalii TV zingine? dressing ni very poor kwakweli.
 
Back
Top Bottom