Kimenuka Zanzibar! JKU wazichapa na Polisi..

Kimenuka Zanzibar! JKU wazichapa na Polisi..

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,096
Kumetokea vurugu kati ya Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) na Jeshi la Polisi katika kituo cha Polisi cha Madema.

Vurugu hizo zilianza mishale ya saa 12 jioni ya leo ambapo inadaiwa kuna askari wa JKU aliwekwa ndani kituoni hapo hivyo wenzake wakavamia kituo hicho na kutaka kumtoa kwa nguvu kwa kuanzisha varangati.

Inaelezwa kuwa baada ya vurugu kuonekana kuwa kubwa, ikapigwa Radio Call na punde askari wa Jeshi la Polisi wakaongezeka na kuanza kurushiana risasi na wale wa JKU.

Kutokana na varangati hilo, njia kuu zote zimefungwa kwa muda..

Wadau mliopo eneo la tukio tunaomba mtujuze zaidi.
 
Picha kutoka eneo la tukio!
IMG-20190410-WA0033.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom