Bodi ya Ngorongoro: Kuna tofauti gharama nyingine za usafari na gharama za mafuta?

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,199
1,346
Wakuu nimejaribu kupitia report ya cag kipengere kilichohusu taarifa ya posho kwa ajili ya vikao vya bodi ya ngoro ngoro kuna kitu kimenichanganya sana.

Wanasema gharama nyingine za usafiri kuna tofauti gani na gharama za mafuta.

Hawa jamaa wa ngoro ngoro si ndio wale wanaojilipa mishahara mikubwa kubwa?.

Kwa kweli Serikali imulike taasisi hii kwa jicho lenye hisia 6.

Haiwezekani wakapanga bajeti ya kuchanganya changanya mambo.

Watuambie mafuta na gharama za usafiri ni vitu gani hivyo
tapatalk_1554931570516.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wa Ngorongoro mie but haina shida hiyo,maana sio wote watatumia company vehicle,ila wapo watatumia public na other transport.
Transport zipo aina nyingi kwenye office
Mfano....1.Carriage....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakuwa magari na ya kwao na sio ya kukodi basi gharama za mafuta zilitosha kumaanisha usafiri. Sasa hizo gharama za usafiri ni zipi? Au wengine waliletwa na magari halafu wakarudi na ndege, na magari yakarudi tupu.
 
Mkuu tunapata mfadhaiko na hawa ruba wa Ngorongoro, hizi fedha zingeleta maendeleo makubwa kwa manufaa ya sisi wenye kipato cha chini. TAFADHALI KAMA UNAWEZA KUTUMBUA JIPU HILI BILA KUSAMEHE HALAFU DIWANI ATHUMANI APITE NAO TUTASHUKURU SANA.
 
ninavoona
gharama nyingine za usafiri ni pamoja na on transit,nauli za ndege kwa wenye hadhi ya kupanda ndege.,matengenezo ya dharula barabarani kwa madereva,nk
 
Hapo kuna ghalama za kusafiri na dreamliner + kukodi tax wakishashuka airport- hotelini, hotelini - mkutanoni. Kuna maboss wanaona kusafiri na gari V8 ni mateso .
 
Back
Top Bottom