Stephen Hawking's alipatwa na ugonjwa gani ule?

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Posts
12,312
Reaction score
18,194
Wakuu nimejaribu kupitia you tube nimemuona yule bwana stephen mwalimu wa Kiranga.

Huyu bwana nilipomuangalia mara ya mwanzo nilijua kwamba labda ule mwili wamemfanyia maonyesho tu kutokana na ukubwa wake.kumbe ndio yeye hana aliwezalo yupo yupo tu.

Alipararaizi au alipatwa na ugonjwa gani ambao wazungu walishindwa kuutibu?
 
Yaani ni ugonjwa uliompata tangu miaka ya 60
Mungu ana uwezo kwa kweli maana kama binadamu anaweza kufanya maamuzi yake huyu asingekuwa hivyo

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Wakuu nimejaribu kupitia you tube nimemuona yule bwana stephen mwalimu wa Kiranga.

Huyu bwana nilipomuangalia mara ya mwanzo nilijua kwamba labda ule mwili wamemfanyia maonyesho tu kutokana na ukubwa wake.kumbe ndio yeye hana aliwezalo yupo yupo tu.

Alipararaizi au alipatwa na ugonjwa gani ambao wazungu walishindwa kuutibu?
Wwka pic tuone basi. Tunajadili kitu hatuoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nimejaribu kupitia you tube nimemuona yule bwana stephen mwalimu wa Kiranga.

Huyu bwana nilipomuangalia mara ya mwanzo nilijua kwamba labda ule mwili wamemfanyia maonyesho tu kutokana na ukubwa wake.kumbe ndio yeye hana aliwezalo yupo yupo tu.

Alipararaizi au alipatwa na ugonjwa gani ambao wazungu walishindwa kuutibu?
Wwka pic tuone basi. Tunajadili kitu tusichokiona!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom