getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,824
Wakuu naomba kujuzwa nijuavyo mimi bidhaa nyingi za mpira zinatokana na miti ambayo huwa inazalisha mpira, Tanzania kama watumiaji wa bidhaa za mpira sina uzoefu wowote kama kuna mashamba ya miti ya mpira.
Swali je hatuna hali ya hewa inayoruhusu kulima miti hii? Au ardhi yetu hairuhusu kupanda aina hii ya miti?
Nimeona shamba kubwa sana la miti ya mipira Malawi je kwetu haiwezi kustawi kwa namna hii?
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app