Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hawa jamaa utabiri wao ni kama bahati na sibu. Ni kama wanacheck wingu maeneo flani flani halafu wanapeana taarifa wanatangaza. Walisema huku kwetu kutakuwa na jua kali na upepo utavuma toka...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Hivi ukilipia kitambulisho cha mjasiliamali mdogo kwa biashara unayoifanya utatakiwa upate vitambulisho vingapi ikiwa utafanya biashara zaidi ya moja? Mfano una saloon na una kibanda cha chips. 1...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hata nipigwe bani, Kamwe sitetereki Ninapopigwa bani, Hata kama si haki Nitabaki kundini, Jeefu sitoroki Siku tano kambani, Katu haz'zoeleki Nimetengwa kundini, Na mods kindaki Kwani uzito gani...
14 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanasayansi wanadai kuwa bara la Afrika lipo mbioni kugawanyika na kuwa mabara mawili. Eneo la Somalia kuelekea eneo lote la Afrika mashariki hadi nusu ya eneo la Afrika kusini yanatarajiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amemshauri Rais John Magufuli atakapokwenda Mbeya kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kuongeza mishahara kwa watumishi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika kipindi ambacho mabasi yanaweza kwenda speed au mwendokasi pasi na hofu basi ni miaka ya 90's na mwanzoni mwa 2000's kabla hawajaleta hizi spidi gavana za 80Kph. Najiuliza wale madereva...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Siku ya leo naiwe njema kwenu. Niende kwenye mada. Kama mnavyojuwa jana ulikuwa ni usiku wa UEFA ligue nakilichotokea kila mutu anakifahamu. Sasa bwana wakati nipo home naangalia mpira mara...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii ni kweli au usanii? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Hayo maneno yamesemwa na kuandikwa na manabii fulani walimu.hivi kwako wewe binafsi njia njembamba unayoona wewe inamaanisha nini?ili tupate kumjua na kumfikia MUNGU tunapaswa kupitaje Salama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Red gold Ni Jina la Kibiashara la Hawa Wahindi wa Arusha ambao hutengeneza Tomatoe Sauce Nimeona Bidhaa Yao Ikiwa Sokoni Lakini Haina Tarehe Ya Kumlinda Mteja iwapo Mwisho wa Kuitumia Bidhaa Yao...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
ABOUT VOYOTA Voice of Youth Tanzania (VOYOTA) is a legally registered organization whose address is at Legarynga iuStreet P.O Box 529, Usa-River, Arusha Tanzania. Our Contact Information is Phone...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kesi ya mauaji ya kukusudia ya mwanafunzi wa shule ya Scolastica ya Himo Moshi, inayomkabili mmilliki wa shule hiyo, Edward Shayo, mwalimu wa nidhamu na Mlinzi wa shule hiyo itaanza kusililizwa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kama wanafunzi wanapiga kelele darasani na kiongozi wa darasa (ambae ndie muangalizi na mdhibiti namba moja wa nidhamu na mienendo ya wanafunzi wenzake darasani) ameandika majina ya waliopiga...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Huo ndio ukweli kijana mwenye Ndoto anaanzia hapa we endelea kukaa kwa mama, Huwezi kuwa juu bila kutoka chini, uoga wa kuogopa kujitegemea siyo jibu la matatizo yako, CC Zero IQ
24 Reactions
59 Replies
6K Views
A Graded Series/ Land of Easterners. CHATTLE Not only over death strewn plains. Fierce mid the cold white star, but over sheltered vales of home. Hide the dreams. The land of easterners...
1 Reactions
0 Replies
583 Views
Ni hivi suala la Nassari lina sura mbili kwa maana litaisha kwa maono mawili ninayoyaona mimi binafsi kama ifuatavyo 1. Serikali ya Magufuli inatupima Yaani amefutiwa ubunge yeye je sisi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
WanaJF nimeleta huu Uzi tujadili kuhusu tatizo la ajira. Sote tunajua kuna vijana wengi mtaani wanalia ajira , pia tunajua jinsi gani mashule mengi hayana walimu. Pia mahospitali wataalam...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Mwanafunzi wa darasa la pili wa Shule ya Msingi Mbambua Kata ya Lembeni wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro, Sarafina William (8), ameuawa kikatili kwa kukatwa panga shingoni akiwa amelala...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Serikali imevifuta rasmi Viwanda 20 katika orodha ya viwanda Tanzania kikiwemo cha Tanganyika Packers kwa kosa la ubinafsishaji mali mojamoja, imetangazwa na Waziri wa Viwanda, Biashara na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Salamu Wapenzi wa Vitabu!! Hapa twaweza jadiliana kuhusu vitabu ambavyo tumeshavisoma, na tunavisoma kwa sasa na kisha kuvipa maksi (alama) (kati ya 5). Hii ni kutufanya tupende kujisomea...
0 Reactions
98 Replies
10K Views
Back
Top Bottom