Uzembe wa TBC

mkumbwa junior

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
817
1,545
Huu Upuuzi Wa TBC mamlaka husika zichukue na kutoa adhabu stahiki
IMG-20181214-WA0028.jpeg
 
Hii stesheni sijui kama ipo hata... sasa hapa ndio ya taifa kioo cha taifa, ingekuwa kwa wenzetu huyu mtu anaehusika na hii kazi hana tena hadi waziri/mkurugenzi pia ila kwa vile n kwetu hata kutuomba radhi hutasikia
 
Achana na TBC hawa jamaa wa hali ya hewa kuna siku walitangaza kwamba kuna kimbunga sijui Tsunami itatokea halafu baadae wanatangaza eti hakuna kitu kama walikuwa wanajaribu kuona muamko wa Watanzania kukabiliana na majanga kama hayo.
Dadeq hadi leo sitaki kuwaona.
 
Hahaha
 
Ni noma...

Au walikosa update ya hali ya hewa wakaona waweke recorded?ila si wangeweka hata ya jana yake tu?Hahah
 
Achana na TBC hawa jamaa wa hali ya hewa kuna siku walitangaza kwamba kuna kimbunga sijui Tsunami itatokea halafu baadae wanatangaza eti hakuna kitu kama walikuwa wanajaribu kuona muamko wa Watanzania kukabiliana na majanga kama hayo.
Dadeq hadi leo sitaki kuwaona.
hadi wewe unaipondea tbc.
 
Back
Top Bottom