Je, kumefanyika tathimini ya kutosha au matamko ya mvua?

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
JE KUMEFANYIKA TATHIMINI YA KUTOSHA AU MATAMKO YA MVUA

NAJUA KUNA FAIDA LAKINI TUANGALIE HASARA ZIFUATAZO

1.MAPATO KUSHUKA –hapa ni kwamba sasa hakutakuwa na wageni kutumia mawasiliano ya simu za mkononi na ununuzi wa vocha kushuka

2.MAWAKA KUKOSA KAZI –hili zoezi linafanyika kwa simu maalumu na mawakala wote hawana hizi simu unategemea hao mawakala watakula nini,BOMU lingine la MAJOBLESS linaibuka .

3. ZOEZI LA LIMEKUJA KAMA MVUA YA VULI- hapa nakumbuka maamuzi ya mwakyembe kutaka ndoa zifungwe kwa kutumia cheti cha kuzaliwa wakati hata yeye hakuwa nacho kwa wakati huo.

4. HAKUNA ANALYSIS YA KUTOSHA KWA NINI WATU HAWANA VITAMBULISHO-hapa nashanga kwa nini hivi vitambulisho mtu asiletewe mtaani kwake ofisi za serikali za mitaa itarahisisha mpaka vijijini kule kwenye nyumba za tope.

5.WATEJA KUTOELEWA NINI NI NINI-hapa tutegemee queue ya nguvu katika callcentre za makampuni ya simu ,wateja wengi watapiga simu kuuliza maswali
 
Back
Top Bottom