Jinsi ndoto kubwa zinavyoua ndoto ndogo!


Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Messages
1,271
Points
2,000
Mikopo Chefuchefu

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined May 15, 2017
1,271 2,000
Watu wengi tumejikuta hatupigi hatua hata kwenye mambo madogo kwa kuwa tumewekeza ndoto zetu kwenye mambo makubwa.
Unakuta mtu ambaye hajawahi hata kujenga vyumba viwili anawaza kujenga ghorofa. Miaka inaenda gorofa haliji.
Wale walio na ndoto ndogo wanajenga hivyo vyumba viwili na kukupangisha wewe mwenye ndoto za ghorofa.
Ukitaka kupiga hatua achana na ndoto kubwa.
Anza na ndoto ndogo kwanza. Ukizikamilisha ndio unakuja kwenye ndoto kubwa sasa...
 
N

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Messages
6,662
Points
2,000
Age
58
N

ndayilagije

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2016
6,662 2,000
Bwana bwana Kuna huyu ratiki yangu alipata kiasi cha kumtosha kabisa kujenga banda,nikamshauri Jenga hamia hilo gorofa utajenga pole pole ukiwa kwako!mmmhzote katia kwenye msingi wa gorofa na bado amepanga na hela imekata kabisa.
Maisha haya usiombe kutamani kukimbia wakati hata kutembea ni shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgugu

Mgugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2015
Messages
1,551
Points
2,000
Mgugu

Mgugu

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2015
1,551 2,000
Bwana bwana Kuna huyu ratiki yangu alipata kiasi cha kumtosha kabisa kujenga banda,nikamshauri Jenga hamia hilo gorofa utajenga pole pole ukiwa kwako!mmmhzote katia kwenye msingi wa gorofa na bado amepanga na hela imekata kabisa.
Maisha haya usiombe kutamani kukimbia wakati hata kutembea ni shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo bado yupo ndotoni hata ukijitahidi kushtua ni kazi bure, atakuja kushtuka mwenyewe baadae wakati machweo yanakaribia.
Ila mimi binafsi nmechunguza watanzania wengi tunapenda maisha ya ndoto ndoto na maisha ya mashindano (kujionyesha).

Maendeleo hayana chama
 

Forum statistics

Threads 1,285,027
Members 494,367
Posts 30,847,695
Top