Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wadau Kwa wakristo waliompokea Yesu kama neno linavyosema kwamba kufa chini ya 70 inaonekana sio mpenzi ya Mungu hasa maisha ya sasa ambayo RIP ZA vijana zimekuwa nyingi sana Karibu tujadili
3 Reactions
10 Replies
168 Views
🔷 Kupitia Kongamano la Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi, Rais Samia anatarajiwa kuwasilisha fursa za kimkakati zilizopo katika sekta za nishati, kilimo, madini na miundombinu. 🔷 Kutunukiwa...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Anonymous
Habari, Mimi ni mdau wa huduma za kifedha na napenda kuwasilisha changamoto inayowakabili wateja wa Benki ya NBC Tawi la Tunduma. Kwa sasa, tawi hilo lina upungufu mkubwa wa watumishi, hususan...
1 Reactions
2 Replies
124 Views
Wateja wanaotaka simu latest mfano iPhone 17 kwakua hawana cash wanapeleka simu yao za zamani mfano iPhone 16 kisha wanaongezea hela naona kabisa hawako sawa kichwani Yaani nikupe simu na...
9 Reactions
10 Replies
385 Views
Simple observation nilioifanya Naona watu wenye maarifa kiduchu na taarifa chache juu ya ulimwengu na hekaheka zake wanafuraha kuliko wasomi na wajuvi wa mambo. Wao masuala kama YA Vita na...
8 Reactions
19 Replies
244 Views
Je hii kozi huwa unakosa ajira kweli maana it seems they are demanded.
1 Reactions
20 Replies
854 Views
Haijalishi wewe ni muislamu au mkristo, kama una imani yoyote inayoamini kwenye "Mungu" nina maswali hapo chini kwa ajili yako. Kwanini Mungu anaruhusu watoto wazaliwe na changamoto za kiafya...
15 Reactions
310 Replies
4K Views
Habari, Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kishiriki cha Elimu DUCE, nasoma kozi ya Bachelor of Education with Education, tukiwa zaidi ya wanafunzi 100 tunaokabiliwa na changamoto...
1 Reactions
13 Replies
535 Views
Napenda nitambue iwapo bado Putin ni rais kapera ama la. Moisemusajiografii.
2 Reactions
27 Replies
352 Views
Biblia inasema Mungu ni upendo, kama ilivyoandikwa katika 1 Yohana 4:8 “Mungu ni upendo.” Pia inaonyesha Mungu anaweza yote katika Mathayo 19:26. Lakini kama Mungu ni wa upendo na anaweza yote...
12 Reactions
200 Replies
2K Views
Anonymous
Sisi wananchi wa Mtaa wa Ruhuwiko katika Manispaa ya Songea tunakabiliwa na changamoto kubwa ya vitendo vya wizi vinavyofanywa na vibaka ambao wamekuwa wakivamia maeneo yetu ya makazi mara kwa...
1 Reactions
7 Replies
321 Views
Chuo Cha KCMC kimetangaza rasmi kupitia CR wa wanafunzi udaktari (MD) mwaka wa nne kikiwataka kulipa ada ya semester ya pili ilihali bado wako semester ya kwanza na kinatishia kuwa hakitawaruhusu...
0 Reactions
8 Replies
204 Views
Nilifanya maombi yangu mwezi Februari 2026 na nikalipia gharama zote zinazohitajika kwa mujibu wa taratibu. Baada ya kusubiri kwa muda mrefu bila kupata mrejesho, nilipofika kufuatilia niliambiwa...
1 Reactions
2 Replies
239 Views
Wasaalam wanajamvi na Watanzania wote kwa ujumla. Mnamo tarehe 27.03.2026 majira ya saa 12:30 jioni ilitokea ajari ya gari katika Barabara ya jojiro iliyopelekea madaktari sita wa Hospitali ya...
2 Reactions
5 Replies
201 Views
Anonymous (2f66)
Soko la Mkolani, Mwanza, upande wa nyuma ni wa kutisha kutokana na hali ya uchafu. Eneo la kutupia taka limejaa kupindukia hadi kufurika, hali inayosababisha harufu kali isiyovumilika. Kinachotia...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Kuna mzee hapa mtaani anahangaika nyumba za kupanga na Kodi inamshinda anakalia kutuomba omba hela vijana halafu katika stori zinazomuhusu ni kwamba ujanani mzee alikua anapata sana hela ila...
8 Reactions
77 Replies
1K Views
Anonymous
Kuna malalamiko kuhusu matukio ya upotevu wa fedha kwenye akaunti za baadhi ya wateja wa CRDB katika Manispaa ya Morogoro. Miongoni mwa walioathirika ni baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha...
2 Reactions
4 Replies
209 Views
  • Redirect
Yuda wa Biblia alimsaliti Bwana Yesu. Siamini kama mleta hoja anamaanisha msalitiwa katika hoja yake ni sawa na Bwana Yesu!?!? Ipo siku tusiyoijua, “Yesu” huyu aliyefumbwa katika hoja hii...
5 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom