goldencrayon
Member
- May 20, 2026
- 5
- 0
Chuo Cha KCMC kimetangaza rasmi kupitia CR wa wanafunzi udaktari (MD) mwaka wa nne kikiwataka kulipa ada ya semester ya pili ilihali bado wako semester ya kwanza na kinatishia kuwa hakitawaruhusu kufanya mitihani wa kumaliza semester ya kwanza (end of semester exam) hata kama ada yao ya mwaka wa kwanza imekamilika.
Na recently waziri mkuu alitoa maelekezo watu wasizuiwe kufanya mitihani. Lakini hapa wanataka kuzuia mitihani Kwa ada ya semester ambayo watu hata bado hawajaianza kwani semester ya kwanza inaishia 13/06/2026 na hawana hoja yoyote wanayoitoa
Huku ni mfululizo wa matukio ya kukosekana Kwa uwazi na uwajibikaji kuhusu pesa wanazolipa wanafunzi kwani hata mwaka jana wanafunzi Hawa wakiwa mwaka wa tatu walilazimika kulipa kiasi tsh 700,000 Kwa ajili ya "community health program" ambayo ilikua program hewa Kwasababu program hiyo huishia mwaka wa tatu tu.
Walipodai waliambiwa pesa hiyo itarudishwa na kuongezewa katika mwaka wa masomo uliofuata lakini chuo kimepiga kimya mpaka Leo na Kila wanafunzi tukiuliza majibu yanatolewa ya kejeli bila vikao rasmi walisema tu kuwa "TCU INAFAHAMU"