Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 528
- 498
๐ท Kupitia Kongamano la Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi, Rais Samia anatarajiwa kuwasilisha fursa za kimkakati zilizopo katika sekta za nishati, kilimo, madini na miundombinu.
๐ท Kutunukiwa Shahada ya Heshima kunadhihirisha heshima ya Tanzania kimataifa na kuimarisha jitihada za kunadi Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kwa washirika wa maendeleo duniani.