Baada ya kutumia social media nimeona comments nyingi sana za chuki baina ya mataifa
For example kukiwa na topic yoyote ile inayosifia Tanzania, utaona a lot of negative comments za Wakenya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University)...
Hii imekua kama utamuduni au ishara ya mtu kuonekana anaishi vizuri lakini ni ndivyo sivyo.
Matajiri wengi na wenye kipato ambacho si Cha magumashi hutumia hela zao kwa vyakula visivyo na faida...
Yani sikuhizi kila nikiona video za mandhari nzuri za Tanzania nikianza kufurahi kichwa changu kinanikumbusha Samia ndio Rais
Haka kabibi kajiuzulu tu tupumzike mauaji na kutekana, Tanzania yetu...
Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya usafiri wa anga na utalii baada ya Shirika la Ndege la Brussels Airlines kuzindua rasmi safari zake za moja kwa moja kati ya Brussels, Ubelgiji na...
Utawala dhalimu wa damu, mmeua maelfu ya watu kujitangaza bila ridhaa ya umma..
Mmeteka na Mnateka watu ili kuwajaza watu hofu..
Mnawategea wengine sumu ili kuwaua na kumaliza kila anaewakosoa...
Kaburi la Askari Asiyejulikana ni mojawapo ya makumbusho muhimu zaidi ya kumbukumbu za vita nchini Urusi. Lipo katika Bustani ya Alexander, karibu na Kremlin jijini Moscow.
Kumbukumbu hii...
Mk 8:27 SUV
[27] Akatoka Yesu na wanafunzi wake, wakaenda kwenye vijiji vya Kaisaria-Filipi; na njiani akawauliza wanafunzi wake, akasema, Watu huninena mimi kuwa ni nani?
Swali hili...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kwanza serikali inabidi iwashukuru wanawake wanaokula nauli za wanaume wajinga wajinga. Iwashukuru kwa kuwanyoosha wanaume wasiojielewa.
Kwa sababu hiyo ndio...
Kwanza kabisa Mimi sio mtumishi wa serikali lakini nimekaa nimefanya kauchambuzi kangu kadogo,nimekuja kugundua watumishi wengi wanaishi na stress kutokana na Hali ya maisha ilivyokua ngumu.
Hebu...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imewafikisha mahakamani watuhumiwa 23 kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) na Chama cha Walimu Tanzania (CWT), wakikabiliwa na...
Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan sisi vijana wazalendo tunapenda kukupa pongezi za dhati kwa namna unavyoendelea kuiwakilisha Tanzania katika majukwaa mbalimbali ya kimataifa kwa hekima...
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo (Mb), amewahakikishia Wakulima Nchini kuwa mbolea inapatikana kwa wingi na hakuna sababu ya kuwa na hofu kuhusu upatikanaji wake katika msimu unaoendelea wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.