Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Makamu wa Rais akijiuzulu tutapata fursa ya kurudia uchaguzi mkuu, na hapo ndo tutawabana tufanye free and fair election, na hapo ndo tutamuondosha huyo anayemtetea Mzee wangu Nchimbi huna...
13 Reactions
40 Replies
777 Views
Taasisi ya Maonesho ya Ufugaji wa Nyuki barani Afrika ijulikanayo kama Africa Bee Expo, imeialika Tanzania kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Tano ya Ufugaji wa Nyuki Afrika yatakayofanyika mwaka 2028...
2 Reactions
0 Replies
121 Views
Hija katika Uislamu Hija ni nguzo ya tano ya Uislamu. Ni ibada takatifu inayomuwajibisha kila Muislamu mwenye uwezo wa kiafya na kifedha kusafiri hadi Makkah, Saudi Arabia, kutekeleza taratibu...
1 Reactions
14 Replies
250 Views
Naombeni majibu Uzi tayri.
0 Reactions
7 Replies
133 Views
MOJA YA DALILI KWAMBA UTAFELI MAISHA NI KUCHUKIA WANAOKUZUIA USIFANYE MAMBO MABAYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Ishara za mwanzoni kabisa za mtu kufanikiwa maisha sio katika bidii yake...
2 Reactions
1 Replies
134 Views
Habarini, Mimi nikiwa mmoja kati ya wahanga waliotapeliwa na kampuni ya 4H REAL ESTATE company limited, nawashauri msiende nimeuziwa kiwanja chenye mgogoro maeneo ya Mbutu, Kigamboni Pia kuna...
3 Reactions
1 Replies
113 Views
Wakuu habari ya wakati huu. Awali ya yote naomba moderator msiunganishe huu uzi na nyuzi zingine huu unajitegemea. Ukisoma kitabu cha biblia ambacho ni kitabu takatifu kwa waumini wa dini ya...
3 Reactions
7 Replies
165 Views
Habari za wakati huu ndugu zangu, kwanza nikiri tu kwamba JF imekuwa msaada sana kwangu pindi ninapokuwa na issues mbalimbali, response imekuwa kubwa. Kwa leo nilikuwa naomba mawasiliano au kama...
1 Reactions
4 Replies
163 Views
Wakuu. Pamoja na yote, tujitahidi kunywa maji. Kuna joto kubwa sana Kwahiyo miili yetu inapoteza maji sana kupitia jasho ikiwa inajaribu kujipooza. Mfano sahivi joto linasoma 31 degrees, ni...
12 Reactions
30 Replies
843 Views
Anonymous
KERO! KERO! KERO!KERO!, TUNAOMBA MTUSAIDIE KUPAZA SAUTI WANANCHI WA KIJIJI CHA ROBANDA, WILAYA YA SERENGETI, MKOA WA MARA. Mimi ni Mwananchi wa kijiji tajwa hapo juu, nimejaribu kutafuta namna ya...
0 Reactions
1 Replies
106 Views
Haya ni baadhi ya madini ya Dkt. Garvin Kweka, anayesisitiza umuhimu wa kuwa na social skills ili kusaidia kukabiliana na msongo wa mawazo na changamoto za afya ya akili. Anasema si vyema kukaa...
2 Reactions
37 Replies
666 Views
Natumaini wote mko poa ndg wana JF,, lakini poleni sana kwale wote wenye changamoto yoyote ya kiafya au maisha kwa ujumla poleni sana Mungu awasaidie mkae sawa 🙏 Ndg zangu nimeamua kuandika uzi...
27 Reactions
85 Replies
4K Views
Mnamo tarehe 28 mwezi may 2026, mahakama ya mwanzo Bukoba ilimuhukumu mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya ulinzi ya JOMPISAKA SECURITY ILIYOPO BUKOBA, kwa kosa la kukutwa na siraha (Bunduki aina ya...
0 Reactions
3 Replies
172 Views
Anonymous
Kijiji cha Mfurumwambao kilichopo Wilaya ya Mkuranga kuna ugawaji wa vibali vya uchimbaji mchanga kiolela, kama sehemu nilipo wanachimba mchanga maeneo makubwa na kusababaisha mashimo makubwa sana...
0 Reactions
1 Replies
180 Views
Anonymous
Maafisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Mtama kuchelewesha kupitisha vikundi kwenye mfumo wa Wezesha Portal nimeomba kusajili kikundi tangu Januari 27, 2026 hadi leo kikundi hakijapitishwa na...
0 Reactions
0 Replies
67 Views
Anonymous
Utoaji wa Huduma kwa mabaharia katika Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)umekuwa mbovu kupitiliza, watumishi waliopo katika taasisi hii wamekuwa na majibu mabovu kwa wateja, hawajali...
1 Reactions
3 Replies
104 Views
Hivi hii michango ya watumishi wa umma ya PSSSF huwa ina riba au ulichochangia ndicho utakuja kupewa ukistaafu? Kuna mshikaji amechangia Mil.99 na atastaafu miaka miwili ijayo, sasa yuko...
2 Reactions
3 Replies
483 Views
Chei chei Viongozi hawana ushirikiano na wana vita wenyewe kwa wenyewe ndani ya chama, hakuna masikilizano kila mtu yeye yupo mbele tu hakuna anayetaka kukaa nyuma ya mwenzake Acha tu CCM...
2 Reactions
37 Replies
317 Views
UJAMBAZI DAR: Kuna taarifa kuwa majambazi yameua sista mmoja kwa risasi Riverside, Ubungo mchana huu, na sista mwingine afanikiwa kuwatoroka, dereva wao ajeruhiwa ; kuna jamaa, mashuhuda...
1 Reactions
151 Replies
51K Views
Back
Top Bottom