Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kila mwaka shule nyingi za serikali huwa zinawaagiza wanafunzi kuja na vifaa kama majembe, mafyekeo, ndoo, mifagio na vifaa vingine vya usafi. Swali langu ni hili; ikiwa maagizo haya yanatolewa...
3 Reactions
6 Replies
156 Views
Wakati wanaume Tanzania hujisikia sana kuwa matraffic Barabarani kuongoza Magari Kutana na Mama mtanzania Dr Alinda Mashiku anayefanya Shirika La NASA Marekani anayeongoza Sattelite duniani...
24 Reactions
100 Replies
13K Views
Anonymous
Wakuu, habari. Ninaomba kufikisha kilio cha wananchi wa maeneo ya Kitunda, Kibeberu, Magole (Mzinga/Kivule) kuhusu changamoto kubwa ya ukosefu wa viwanja vya michezo vya jamii, hususan kwa vijana...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Anonymous
Sisi wakazi wa Isamilo, Mtaa wa Maendeleo, tunawasilisha rasmi malalamiko yetu kuhusu kero kubwa inayotukabili katika eneo letu la makazi. Kuanzia mwezi Aprili, 2026, jirani yetu mmoja amefungua...
0 Reactions
0 Replies
178 Views
Wakuu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza lilitoa taarifa ya ajali ya gari iliyotokea tarehe 27.03.2026, majira ya saa 12:30 jioni, katika barabara ya Jojiro, na kusababisha majeruhi kwa madaktari...
8 Reactions
35 Replies
575 Views
Anonymous
Mataa ya kuongozea magari katika eneo la Kibasila, Chang'ombe, yamekuwa hayafanyi kazi kwa muda mrefu sasa. Hali hii imesababisha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara, huku baadhi ya madereva...
1 Reactions
1 Replies
96 Views
Ni mara chache sana kuona watoto wanaweza kuishi hapo hapo. Mi naonaga mwisho wa siku ukimbilia nchi ambazo wananchi wenye hasira utawala wa wazazi unaweza kuwaumiza
1 Reactions
4 Replies
98 Views
Nimeota namuuliza swali Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwamba Kama misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini? Nyerere akashindwa kujibu, akalia sana akaanza kusema yeye kama mjenga misingi...
3 Reactions
5 Replies
140 Views
1.Mstaafu raisi Jakaya. Huyu uzee 2.Spika wa bunge.Hapa kama bunge hakuna ndio maana hakuna nguvu ya kuwa na kumbu kumbu. 3.Mkuu wa majeshi Mkunda.Huyu naona hata jeshi heshima imeshuka siku...
1 Reactions
1 Replies
85 Views
Sawa ni super pawa ila sijawahi kuona sehemu urusi anapounga mkono pakawa salama zaidi ya watu kupitia mateso,vita visivyo kuwa na ukomo,maendeleo yanakuwa kwenye jeshi tu na watawala wala sio...
1 Reactions
2 Replies
110 Views
Anonymous
Kuna viwanja vilivyouzwa takribani miaka minne iliyopita na Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni katika eneo la Pembamnazi–Tugwi Songani. Hata hivyo, hadi sasa wananchi bado hawajapatiwa hati zao...
1 Reactions
0 Replies
96 Views
Anonymous
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro inadaiwa kuwepo na changamoto katika ugawaji wa maeneo ya biashara kwa wafanyabiashara wadogo. Kwa mujibu wa malalamiko ya wafanyabiashara, maeneo hayo ambayo...
1 Reactions
0 Replies
133 Views
Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Bukimau iliyopo Kata ya Bumilayinga, Halmashauri ya Mji wa Mafinga, Wilaya ya Mufindi, Kojak Emily Ungele (19), amefariki dunia katika tukio...
4 Reactions
19 Replies
362 Views
Ukifikisha miaka 35-40 huna mbele wala nyuma, si bora utolewe kafara ukoo uambulie hata kirikuu. Nimeingia jukwaani nikiwa na kichefuchefu na hawa viumbe wanaojidanganya ni wanaume wakati ni...
8 Reactions
44 Replies
737 Views
Jamii yetu inaelekea wapi? Inasikitisha kuona baadhi ya wanaume ambao tayari wamevuka umri wa miaka 30 wakiwa hawana shughuli maalum ya kuwaingizia kipato, hawana mipango ya maendeleo, na kila...
2 Reactions
12 Replies
263 Views
Na Mwandishi Wetu ALBINISM Sports Club yenye Makao Makuu yake jijini Dar es Salaam kwa kushirikiana na Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira (TASACI), imeandaa mechi ya kirafiki kati ya...
0 Reactions
0 Replies
79 Views
Nina plani nipate eneo lisilopungua heka 5 hapo ndani nifanye mambo yangu ya kilimo na ufugaji, sana sana nmelenga mkoa wa Pwani especially kisarawe. Je ni sehemu gani nzuri ambayo ina ardhi...
4 Reactions
15 Replies
254 Views
Makamu wa Rais akijiuzulu tutapata fursa ya kurudia uchaguzi mkuu, na hapo ndo tutawabana tufanye free and fair election, na hapo ndo tutamuondosha huyo anayemtetea Mzee wangu Nchimbi huna...
13 Reactions
40 Replies
777 Views
Back
Top Bottom