Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Umekuwa ukiweka pozi la vidole viwili juu (maarufu kama Peace Sign) au lile pozi la Kikorea la kusugua vidole (Finger Hearts) kila unaporusha selfie mtandaoni? Jinsi AI Inavyofanya Kazi Zamani...
1 Reactions
1 Replies
220 Views
Kama hujawahi kuishi nyumba za kupanga (kwa muktadha huu chumba kimoja) hasa uswazi utakuwa umekosa mengi sana. Wengi wetu tumeanzia maisha kwenye chumba kimoja kabla ya kupanga nyumba nzima na...
81 Reactions
829 Replies
204K Views
Habari wana jamvi? Kama ilivyo kwenye kichwa cha habari. Shemeji yangu yaani kaka wa mke wangu anataka kuniuzia shamba sasa nikasema mambo ya kwa wakwe napo kuna kuwaaga na changamoto zake ngoja...
3 Reactions
14 Replies
200 Views
Nimefurahishwa na kaka yangu eng HERSI MUNGU akutangulie na akulinde na husda au wazee wa roho mbaya, wasiopenda mafanikio ya wengine. Nilicho jifunza unaeza kua na taaluma Yako tu lakini...
2 Reactions
3 Replies
157 Views
Berating a junior colleague (faculty/resident/intern) for no reason is a regular scene ingrained in the (in)famous workplace culture at most medical colleges of the country. We seem to can't get...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Leo pambano ni kati ya Habiba, mshambuliaji hatari mwenye chenga za maudhi, dhidi ya Sele, ambaye leo anaonekana kulegeza ulinzi makusudi! Dakika ya kwanza, Sele anaanza kwa pasi fupi fupi za...
3 Reactions
5 Replies
112 Views
Wengi Wamelia, Wengi Wamejilaumu Sana Na Wengi Wanajutia Kwasababu Tu Hawakuzingatia Japo Walifahamu, Na Wengine Hawakuwa Na Mtu Au Watu Wa Kuwaambia. Leo Wewe Nakuambia Zingatia Sasa. Maisha...
2 Reactions
2 Replies
97 Views
Hi Nimependa sana hii sinema na sio maigizo, je? Si ni tofauti kati ya sinema na maigizo Nimeona mgawanyiko huu unaenda kuwapoteza baadhi ya wananchi wengi wa kawaida ambao wachanga kwenye siasa...
4 Reactions
16 Replies
451 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Mawaziri wenye dhamana ya sekta za Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wameazimia kuendelea kuboresha mazingira ya biashara na...
0 Reactions
1 Replies
222 Views
Aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete, alipomtengua nafasi ya uwaziri Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Anna Tibaijuka baada ya sakata la Escrow.
2 Reactions
6 Replies
209 Views
Kuna huyu kijana mwenzetu amabaye amepewa heshima YA kupuliza la mgambo la Kijiji lakini saasa naona anapuyanga. Amekua Ni mwepesi wa kujibu tuhuma zinazotolewa na zengo mbalimbali...
0 Reactions
2 Replies
128 Views
  • Redirect
NUKUU ZA MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSANI AKITUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UZAMIVU CHUO KIKUU CHA URAFIKI WA WATU WA URUSI (RUDN University) JIJINI MOSCOW.
1 Reactions
– Replies
– Views
Watu hutumia sana hoja hii katika kuonyesha serikali yetu haijafanya lolote Ninachojaribu kueleza hapa miaka sitini katika kujenga taifa mara nyingi, umri huu huwa ni umri mdogo sana...
1 Reactions
8 Replies
171 Views
Malenga wapya muhali gani?? Me muhenga naendelea vyema na ombi langu kubwa ni Mola atuvushe katika hali yetu ya Taifa kwa sasa. Kuna uzi uliwekwa humu kama kero za mafundi sanifu maabara...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Back
Top Bottom