Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,068
- 6,161
Je hii kozi huwa unakosa ajira kweli maana it seems they are demanded.
😂😂😂Huku mtaani kuna kila aina ya professional
Miaka ya hivi karibuni wazazi wengi wamekuwa wakikimbiza watoto wao biomedical wakiamini wakimaliza tu ajira ipo.Kasome uone.
watoto wa chuo na form 6 mnatupa kazi sana kuwaambia ukweli kuhusu mtaa.
Eeh ni kweliFursa ktk nchii haiangalii umesoma nn ila ina angalia watoto wa wawakubwa wafanye nini ukibahatika kupenya katikati yao ni mungu kakubariki tu
😂😂😂 inasemekana hiyo kozi haikosi ajiraWako VETA hao, ndo maana huwaoni Mtaani.
😂😂😂😂
Ogopa matapeli, 😂😂😂😂😂😂😂😂 inasemekana hiyo kozi haikosi ajira
Ni kama ilivyokuwa kwenye diploma za CO na Phamarcy.Miaka ya hivi karibuni wazazi wengi wamekuwa wakikimbiza watoto wao biomedical wakiamini wakimaliza tu ajira ipo.
😄 🤣 😂 😆Huku mtaani kuna kila aina ya professional
😂😂😂😂Ni kama ilivyokuwa kwenye diploma za CO na Phamarcy.
Waulize sasa hivi wengi wapo kwenye vituo vya afya vichochoroni wanakula mishahara ya 300k na 400k
Wana ajira za "Afisa Usafirishaji"Je hii kozi huwa unakosa ajira kweli maana it seems they are demanded.
😂😂😂hakuna anaepona kwenye hili jangaWana ajira za "Afisa Usafirishaji"
Ungeandika kwa herufi kubwaa.Huku mtaani kuna kila aina ya professional
😂😂😂Ni kama ilivyokuwa kwenye diploma za CO na Phamarcy.
Waulize sasa hivi wengi wapo kwenye vituo vya afya vichochoroni wanakula mishahara ya 300k na 400k
Haswaaa 😂😂😂😂😂😂 inasemekana hiyo kozi haikosi ajira