Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Uyowa, Tabora amevuliwa madaraka ya kuwa mwl mkuu na kuwa mwl wa kawaida kwa kushidwa kusimamia utoaji wa adhabu shuleni mwak. Juzi mkuu huyo hakuwepo shuleni...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Miezi kadhaa iliyopita vijana watatu mkoani Singida walijirekodi video wakiendesha gari, huku wakicheza wimbo wa Darasa (Muziki). Hali hiyo ilimfanya dereva kuachia usukani na kuserebuka. Baada ya...
26 Reactions
292 Replies
28K Views
Wahenga walisema "Ukitaka kuchukua kipande cha dhahabu kiurahisi toka kwa kichaa basi mpe kioo, wakati akiwa anacheka na kioo wewe kusanya vipande vyako vya dhahabu na utokomee" Mwanamuziki Fid Q...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
  • Redirect
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam, limemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujisalimisha Polisi mara moja kwa ajili ya Mahojiano yanayohusu vita vya dawa za...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nimefurahi sana nilipopokea ujumbe huu " Habari kwa umma, huduma ya kuhama mtandao bila kubadili namba yako itaanza kuanzia tarehe.01.03.2017 kwa malezo zaidi piga 100 au tembelea maduka yetu."...
1 Reactions
Replies
Views
Gereza La kike au lakiume?
3 Reactions
47 Replies
8K Views
  • Redirect
Promosheni ya vodacom gawio tangu ianze nimepokea 750 tu,sijajua wanatugawia kama zawadi au wanatuenjoy
0 Reactions
Replies
Views
Hapa karibuni kumekuwa na ukamatwaji wa madereva ambao wanatumia kilevi na kuendesha magari ya abiria na hata binafsi. Natumaini katika taratibu/ sheria zetu zinaeleza kuwa usipovuka kiwango...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Vipi mshahara wa mwezi Februari? Huko kwenye akaunti bado hawajafanya mambo huko wakuu? Maana'ke hali sio hali kabisa, Na kuna ndugu namdai, Sasa huyo ikipita siku 1 tu tangu apate mshahara-...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Lisha ya serikal kupga marufuku kupanda kwa bei za nishat hasa umeme imebainika kupuuzwa kwa kaul hiyo ya serikali baada ya kuonekana kupanda kwa bei ya nishat hiyo kimya kimya bila kuwataarifu...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
mpo wapi ?!?! mihadarati ina athiri jamii ....
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Redirect
Ni Kazi kubwa sana Binadamu kubadili tabia, Ulevi ni tabia ya mtu na Ulevi una hasara nyingi tukubali au Tukatae. Mfano. kama unakunywa Bia Tatu kila siku weekends unakunywa tano ina maana...
21 Reactions
Replies
Views
Chuo kikuu kishiriki cha Eckenford kilichopo mkoani Tanga kinatarajiwa kupigwa mnada pamoja na Taasisi zilizopo chini yake ili kufidia deni wanalodaiwa na Benki ya taifa ya Biashara (NBC)...
1 Reactions
33 Replies
9K Views
Tofauti sana na wenzetu wa Ulaya na America matajiri wanajivunia sana utajiri wao na njia walizopitia kupata utajiri huo kiasi cha kuandika hata vitabu vya namna ya kupata mafanikio. Lakini ni...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Thrasymachus alikuwa ni mwanafalsafa aliyeongelea swala la haki. Alisema kuwa maisha ya DHULUMA ndiyo maisha ya kupendwa kuliko maisha ya HAKI. Thrasmachus hakuyaona maisha ya dhuluma kama ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tangu jana loanbord wametoa majina ya watoto waliofanikiwa kuapeal mkopo! Waliofanikiwa ni watoto kama 1000+ na wengi walitegemea kupata ahueni lakini subira yao imekuwa shubiri...... Kibaya zaidi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wana JF miongoni mwa mawaziri waliokuwa katika baraza la mawaziri katika awamu ya kwanza ya Mwl.J.K. Nyerere ni Prof. John Machunda. Kwa waliokuwa wanamfahamu inasemekana alikuwa mchapa kazi...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Wadau I hope mko poa kabisa. Siku chache zijazo nitasafiri kikazi kwenda Kampala Uganda na nitakuwa huko kwa muda wa wiki 2! Ni mahali ambapo sijawahi kufika tangu kuumbwa kwa dunia. Naomba...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Mimi ni mtanzania ninayetoka familia duni ambaye nimesoma kwa uchungu sana niwe msaada mkubwa kwa familia yangu hapo baadae. Nasoma masomo ya sayansi ambayo imekuwa ni kipao mbele sana kwa awamu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom