ITV na habari za kimataifa

ITV na habari za kimataifa

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,318
Reaction score
12,828
Leo May 16 2019 mmeweka picha angavu na nzuri na ripoti nzuri ya habari ya kimataifa picha haikuwa ile ya kunasa BBC au CNN yenye maandishi/captions zao...picha zimekuwa safi kabisa...natoa wito muendelee hivyo hivyo mtuletee habari muhimu za kimataifa kwa siku mbali na hizo za DRC na EAC...

Kuhusu picha zisizo za kunakili BBC,ALJAZEERA au CNN zenye maandishi maandishi nawashauri mnunue picha kwa ku-subscribe kwenye International forums/websites zinazouza picha likiwemo shirika la AFP ambalo kupitia website yao ya AFP forum mnaweza kununua picha za video graphics illustrations na habari mpya na nzuri.

Endeleeni kuiboresha taarifa yenu ya habari hamna mpinzani na ikiwezekana ongezeni na kipengele cha mahojiano mfano leo mngemhoji Spika kuhusu issue ya Masele hamshindwi hizo zitawapa more audience.Tunawaamini washeni moto zaidi kumuenzi muasisi mzee wetu R.I.M.

Bravo kwa kazi nzuri!!
20190516_202456~2.jpeg
 
Weka na TBC shirika letu la utangazaji lenye uzalendo..Ni wivu wako tu! (Jokes) (In Gwajiboy's voice)
 
😂😂😂😂😂 wap TBC TAIFAA.UKWELI NA UHAKIKA.🏃🏃🏃🏃
 
Ila jana nlikuwa bar fulan mahali nikauta TBC taarifa ,,nliona aibu mimi sana


Hongera kwa ITV sana
 
Huoni kwamba logo ya BBC imefichwa nyuma ya graphics za ITV hapo chini? hizo ni picha za bbc na zina logo yake imefichwa na graphics. na bbc hawapendi kweli uduanzi kama huo.
 
huoni kwamba logo ya BBC imefichwa nyuma ya graphics za ITV hapo chini? hizo ni picha za bbc na zina logo yake imefichwa na graphics. na bbc hawapendi kweli uduanzi kama huo.
Kumbe wanamaind pia sasa kwanini hawa jamaa wanaendelea TV za Kenya sijawahi ona mipicha yenye captioning ya media za nje...wabadilike sasa
 
Naona wanazidi kubinu mbuni (in pierre voice)
 
Kumbe wanamaind pia sasa kwanini hawa jamaa wanaendelea TV za Kenya sijawahi ona mipicha yenye captioning ya media za nje...wabadilike sasa

Ndo hivo mkuu bado jamaa wanagongea video na logo, hawanunui. Mpaka sasa kwa tanzania tv stations zinazopewa exclusive footages bila logo na caption ni Azam TV 2 na TV1 Habari.
 
ndo hivo mkuu bado jamaa wanagongea video na logo, hawanunui. Mpaka sasa kwa tanzania tv stations zinazopewa exclusive footages bila logo na caption ni Azam TV 2 na TV1 Habari.
Hizo exclusive videos zinauzwa AFP ndio wanaoyauzia mashirika mengi ya habari picha kuanzia za mnato,video na graphic images...ndio maana magazeti kv mwananchi unaona wanaandika picha courtesy ya AFP https://www.afpforum.com/afoimages/index.html?mui=3
 
Back
Top Bottom