IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Moja kwa moja kwenye mada niko maeneo fulani kwa muda wa siku 2. Leo nimeshuhudia mtu ananyanyaswa ndani ya nchi yake kisa hajafunga.
Hata kama yeye ni muislamu huwezi jua kwanini hajafunga.
Dini yetu ni ya amani(Islam) hata mtume wetu Mohammad (SW) hakuwahi kuwa na tabia za kihuni hivi.
Busara itumike katika kuliendea jambo lolote lile.
Vitu kama hivi vinafanywa na watu wachache wanaharibu ukweli juu ya dini.
Assalam Alyekum!