Grand Master Dulla
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 411
- 152
naomba niwaulize jamani washka dau,kuna tajiri mmoja tunakaa nae hapa kitaa ana mabasi ya mikoani ila,wa2 kitaa wanamgwaya sana,eti wanasema kuwa ni mfugaji mzuri tu wa majini,kisa n kwamba kila ikifika kipindi fulan lazima achinje ng'ombe na kufanya sherehe,binafsi nilibisha uvumi huu mana wengine wanafanikiwa kwa juhudi zao tu,je kuna anayejua lolote kuhusu masuala haya kwamba ni kweli au ni uzushi tu kama navyoamini mie?