Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wana Jf habari, ngoja niende kwenye mada moja kwa moja Kama kichwa husika hapo juu, nimeamua leo nitoe ushauri kwa Wizara yetu ya Afya kuhusu wataalamu wa maabara, naomba niseme hivi ili kuondoa...
0 Reactions
6 Replies
934 Views
Wanabodi Kumekuwa na ongezeko la hali ya juu ya kutalikiana au kutoa talaka kwa wanandoa eidha kwa kujua au kutokujua madhara yake baadaye. Kwa ufupi kabisa, MUNGU ANACHUKIZWA SANA NA...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
WATU wanne wanaodaiwa kuwa ni majambazi, wameuawa na polisi wakati wakiwa kwenye majibizano ya risasi ndani ya msitu wa Kisanga Kijiji cha Kisanga Tarafa ya Mikumi wilayani Kilosa mkoani Morogoro...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ukarasa mpya umefunguliwa katika kuutangaza na kusambaza habari za ushoga na wanaharakati wa kutetea mapenzi ya jinsia moja. Tunajua nguvu ya Hollywood katika ulimwengu wa sasa kwa jinsi...
3 Reactions
66 Replies
10K Views
Umezuka mtindo ulaya kwa kutumia ukarimu unaopatikana ktk dini ya kiislam kuhusu kusaidia masikini na wanyonge na wenyeshida kwa kuwapa swadaka popote wakiwa ima ktk majumba ya ibada au mtaani...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo nimeenda hospital amana kuna doctor ukiingia chumba cha daktari ukimueleza anakuskiliza na Anakuandikia vipimo lakin ela unampa yeye nimeshangaaa maana ela kuna wakala wa nmb inabidi ukalipe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Aliyekuwa msemaji wa kikundi cha waasi cha National Liberation Forces nchini Rwanda, Callixte Nsabimana almaarufu kama Sankara amekamatwa na vyombo vya Ulinzi na Usalama nchini humo. Sankara...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mahakama ya Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, imemhukumu mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Jabal Hirah, Mwatanda Omari (37) kifungo cha miezi 12 jela kwa kosa la kuomba rushwa ya ngono. Taarifa...
4 Reactions
52 Replies
8K Views
Moyo Wenye Huruma Ni dawa Kwa Wenye Machozi, kila aonaye Thamani Ya mwenzake Hupata thawabu ktk ufalme wa Mungu, Najua Si rahisi Kuishi Bila Kikwazo Ktk Maisha Napenda kukuomba radh kwa lolote...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Muda huu saa kumi na mbili na dakika 50 nipo kongowe lakini hakuna basi la mkoani hata moja lillilotupita. Wakati miaka ya nyuma muda kama huu mabasi yapo vigwaza huko au chalinze kabisa. Kweli...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu Msimu wa mavuno ndio huu umefika Mwaka huu hatutaki ripoti za makaratasi kwenye mitaji ya watu na biashara za watu. Mlifanya kwenye kahawa mkaharibu kabisa na wakulima ni vilio mwanzo...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
Africa It’s time for a reckoning for Kagame and his Western cheerleaders Timothy B Reid 23 Apr 2019 00:00 A quarter of a century later, it is about time that the role of Paul Kagame and his...
0 Reactions
2 Replies
806 Views
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Picha inajieleza imepigwa saa 10:15 Asubuhi muda wa kazi.Si kwamba waliofunga wapo msibani la hasha.Hii ni sample ya miji mingi Tanzania kwa sasa,wawakilishi wetu semeni ukweli.
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Kikweli serikali inatakiwa kuangalia hili zuio la hii mifuko, japo wametoa muongozo baadhi ya vifungashio vitakavyoruhusiwa kama vile dawa. Swali linakuja vipi wauzaji, wanywaji wa Kandoro haya...
5 Reactions
46 Replies
6K Views
Watu wawili wamefariki dunia baada gari ndogo lenye namba za usajili T 340 DHG kugongana uso kwa uso na Fuso leo majira ya asubuhi Machi 18, 2019 maeneo ya Mdaula mkoa wa Pwani. Taarifa za chanzo...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari Wadau Samahani kwa anayefahamu ukipoteza zile CARD za Nhif zile za zamani ambazo kaka alikuweka kuna uwezekano wakuipata kama Upo taratibu zipoje Natanguliza shukrani sana [emoji120]
0 Reactions
31 Replies
3K Views
​wanaangalia waliokunywa ukishatoka wqnakufata nyuma wanakusimamishq wanarudi bar tena muwe waangalifu msinywe mkapitiiliiza else kunywa mqlta aka malta kama mimi ukimix na koka unatengeza...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Tangu rais atue mtwara na kuagiza wakulima wadogo wadogo wote walipwe ndani ya siku 2 hadi Leo hatujalipwa. Kila tunapohoji tunaambiwa tusubiri kidogo tutalupwa, je ikiwa rais alisemà tulipwe na...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nichukue fursa hii kwanza kumshukuru JPM kwa hatua zake za kudhibiti wizi wa rasilimali za taifa, maana kwa kufanya hivyo nimegundua kuwa kuna watu ni wanasiasa/viongozi wakubwa sana ila sio...
10 Reactions
29 Replies
4K Views
Back
Top Bottom