DC Nachingwea apigilia msumari agizo la Makamba. Ataja madhara ya mifuko ya plastiki

Mar 22, 2019
46
55
Na Bakari Chijumba

Katika kuunga mkono juhudi za Waziri January Makamba na wizara yake kwa ujumla katika kutokomeza mifuko ya plastiki,Mkuu wa wilaya ya Nachingwea Bi.Rukia Muwango,ameagiza ifikapo 01 June 2019,ni marufuku kusambaza au kutumia mifuko hiyo wilayani humo na atakayekaidi atachukuliwa hatua.

Bi.Muwango amesema wanaunga mkono utokomezaji wa mifuko hiyo kwa kuwa inachafua mazingira, haiozi inapotupwa baada ya matumizi na inaziba pia mifereji ya maji hasa wakati wa mvua mfululizo.
IMG-20190518-WA0003.jpeg
images(2).jpeg
images(3).jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom