MJADARA UPO WAZI

Aug 9, 2018
95
293
Mtu mwenye kipato kidogo na mwajiriwa wa serikali anawezaje kumudu gharama kubwa za maisha? anasomesha, matumizi ya nyumbani, anajenga, anahudumia ndugu zake(extended family), ananunua motokaa n.k, anawezaje kufanya yote haya kwa kipato anachosema ni kidogo?

Mjadala uko wazi
 
Asikuambie mtu...waajiriwa wa serikalini majority wanakopa sana hela za moto..inaumiza sana...wengine ndo wanajiongeza kufanya ujasiriamali wa kilimo na ufigaji...lakini maisha sio kbs..😣😣😣..
 
Rekebisha kwanza kichwa cha habari
Siyo MJADARA NI MJADALA

Mimi jana kuna sehemu niliandika Mshahara..akaja mtu akaniambia 'lekebisha..ni mshahala'😂😂😂..nilimuonea huruma ghafla..sijui ss hv walimu wa kiswahili wamepatwa janga gan jamani
 
Kuna mbinu nyingi za kuishi mjini.
Kuna wenye ndugu Ulaya na USA wakiletewa $500 wanaweka na kuanza na kibanda cha chips baadae wanafungua conteiner wanauza beer, soda na chakula.
 
Back
Top Bottom