Wakuu naulizia hizi condom pendwa ambazo zipo very effective na bei yake wanyonge wengi wanaimudu. Nimezitafuta sasa niko phamarcy ya tano naona hola. Je mzalishaji/msambazaji amebadili biashara...
Mfalme wa rhymes Tanzania afande sele amedai kuwa kitendo cha kukataza bangi ni kumkumfuru Mungu aliyeiumba.
Mfalme huyo mwenye nyimbo za kuelimisha jamii amedai kuwa kuhalalisha bangi kutainua...
Wachaga wengi wanamdhambulia Makonda, kuna sababu katika hili.
Tuwe wakweli tu jamani ule moyo wa utoaji ulikuwa ni wa Reginald Mengi tu na sio wa wachaga. Mchaga kama wewe huna nasaba nae, wewe...
Wakuu, wiki hii katika mihangaiko ya hapa na pale nilikuwa mkoani kigoma wilayani Kibondo. Kulikua na zoezi la uchukuaji fomu za kujaza kwaajiri ya vitambulisho vya taifa.
Zoezi hili lilikuwa ni...
MRADI wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo haraka, maarufu kama mwendokasi, awamu ya pili kutoka Gerezani hadi Mbagala Kuu jijini Dar es Salaam, unatarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa...
Habari wakuu,
Hiv karibuni serikali ilitangaza kwwmba imeongeza vifaa vya upimaji wa homa ya dengue na hivyo kushusha gharama kutoka 45000 mpaka kati ya 15000 na 20000.
Sasa naomba kuuliza kwa...
Wakati tukiendelea kujisifia kuwa taifa la kwanza katika nchi za maziwa makuu kutumia Kiswahili kama lugha ya taifa na kuwa nchi ya kwanza yenye idadi kubwa ya watu waongeao Kiswahili, bado hali...
Watanzania habari zenu hii habari mm imenigusa sana, Captain wa timu ya Taifa #TaifaStars na mshambuliaji tegemeo wa Club ya Genk ya kule Belgium na mtoto wa Mbagala Dsm, kuripotiwa na vyombo vya...
Basi la abiria ambalo linalomilikiwa na Kampuni ya Sweet Africa lililokuwa linatoka mkoani Njombe kuelekea Dar es salaam, limepata ajali leo majira ya asubuhi maeneo ya mlima Kitonga
Taarifa za...
Eti utasikia sijui fulani anazikwa kwenye kaburi la Familia alipozikwa Mke/Me/Mtoto wake, sasa hiyo familia itazikana hapo hadi lini?
Hivi mnajua kwamba kuna watu waliokufa miaka zaidi ya laki...
Watu wengi sana wanatamani kuajiriwa lakini hawajui ni nini kilichopo kwenye ajira hizo, utumishi wa umma kwa sasa umegeuka kuwa utumwa wa umma, watumishi wana hali mbaya na wasipo kuwa makini...
Habari za wakati huu,
Kama wengi wetu tunavyofahamushwa kuwa bendera ni moja kati ya tunu za taifa letu sijui kwa mataifa mengine.
Swali ni nani alibuni ama aliyeanzisha matumizi ya bendera...
Asema: Nilikua Na Watoto Watatu Na Wote Wameoa.. Basi Siku Moja Nikamzuru Yule Mkubwa Na Nikataka Nilale Kwake, ilipofika Asubuhi Nikamwambia Mke Wake Anipe Maji Ya kutawadhia.
Nikatawadha Vizuri...
Mambo muhimu unayofaa kuyafahamu kuhusu filamu pendwa mpya ni pamoja na haya:-
1. Lupita Nyong'o mtanzania kutoka pale jijini Mwanza ni miongoni mwa watakaokuwemo kwenye filamu ijayo ya James...
Kwa kadri nilivyofundishwa na kuyasoma maandiko, ninatambua kuwa sadaka ni siri iliyoumbika katika imani kati ya Mtoaji na Muumba wake.
Biblia ikaenda mbali na kusema hata mkono wako wa kushoto...
Wakuu nipo huku mitaani na zunguka kwa makampuni walau nipate kazi ila wale maajaent wanaofanya michakato ili kupata nafasi wanataka niwapoze japo ya Chai bila hivyo nafasi basi.. Vipi waku hii...
....Hoja ndogo ya mwisho kuhusu suala hili. Sio tu kwamba Mh..Rais Magufuli amekiuka Katiba na Sheria ya Uchaguzi kujaza makada wa CCM kwenye uongozi wa Halmashauri za Serikali za Mitaa, bali pia...
Wana Jf habari, ngoja niende kwenye mada moja kwa moja
Kama kichwa husika hapo juu, nimeamua leo nitoe ushauri kwa Wizara yetu ya Afya kuhusu wataalamu wa maabara, naomba niseme hivi ili kuondoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.