Wizi mpya wa mtandao

Wizi mpya wa mtandao

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,905
Reaction score
4,948
Kuna vijana wanatembea mitaani huku wamevalia t-shirt au vizibao vya kampuni za simu mfano wa kampuni ya tigo, voda, airtel, halotel nk

Vijana hawa watajifanya wanataka kukupa huduma ya vifurushi vipya ambavyo vingine hata havipo kwenye kampuni husika na vingine vipo lakini watahitaji laini yako uwape waweke kwenye simu yao ndipo wakuunganishe plz plz sana husiwapatie kwani ukiwapatia wanadownloud software application ya mtandao wako mfano software ya tigopesa, halopesa, airtel money au mpesa na wakikurudishia laini yako wanaweza kufanya miamala wakiwa popote hadi hapo utakapobadili namba ya siri.

Na ingependeza kampuni husika ziweke mahali na mtu maalum wa kutoa huduma hizi kwani hawa vijana waliopewa kazi ya kutembea popote na kufanya kazi hizi maarufu kama free lenser baadhi yao siyo waaminifu wanafanya wizi kwa wateja wa mitandaoni.

Ombi langu kwa wizi huu mpya"Husimpe mtu laini yako"

Sambaza uwezavyo kutoa elimu hiii.
 
Huu ni uongo mnazusha tuu, iko hivi mteja mpya akiwa na smartphone anaelekezwa a download app ya tigopesa ambapo atakuwa anafanya transaction ya miamala ya kifedha bila gharama kupitia tigopesa app. Haya ya kusema unaibiwa pesa na mawakala nakukatalia japo wapo wachache ambao sio waaminifu. Kumbuka mtu awezaye kukuibia pesa ni yule anayejua namba yako ya siri na upo karibu naye

IMG_20180903_143322.jpg
 
View attachment 857499
Si lazima ajue no ya siri,akijua no yako tu wanautundu wa kucheza hadi wachukulie Salio.Hata si Salama ukitaka kuuza au kumpa MTU smart phone ni vizuri ukiiondoa screen protector maana imebeba finger prints zako wanachofanya wanaaangalia ni no zipi umekuwa ukizitumia kwa kurudia rudia wanazibahatisha hadi wanawezapata no zako za siri za simu na za bank.Ukiona ni ngumu kutoa screen protector,uwe na tabia za kubadili no za siri kila uuzapo,au ukipoteza simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vijana wanatembea mitaani huku wamevalia t-shirt au vizibao vya kampuni za simu mfano wa kampuni ya tigo, voda, airtel, halotel nk

Ombi langu kwa wizi huu mpya"Husimpe mtu laini yako"

Sambaza uwezavyo kutoa elimu hiii.
Mtu pekee anaweza kuibiwa kiboya hivi ni mhaya...halafu sio HUSIMPE, ni USIMPE
 
Kuna vijana wanatembea mitaani huku wamevalia t-shirt au vizibao vya kampuni za simu mfano wa kampuni ya tigo, voda, airtel, halotel nk

Vijana hawa watajifanya wanataka kukupa huduma ya vifurushi vipya ambavyo vingine hata havipo kwenye kampuni husika na vingine vipo lakini watahitaji laini yako uwape waweke kwenye simu yao ndipo wakuunganishe plz plz sana husiwapatie kwani ukiwapatia wanadownloud software application ya mtandao wako mfano software ya tigopesa, halopesa, airtel money au mpesa na wakikurudishia laini yako wanaweza kufanya miamala wakiwa popote hadi hapo utakapobadili namba ya siri.

Na ingependeza kampuni husika ziweke mahali na mtu maalum wa kutoa huduma hizi kwani hawa vijana waliopewa kazi ya kutembea popote na kufanya kazi hizi maarufu kama free lenser baadhi yao siyo waaminifu wanafanya wizi kwa wateja wa mitandaoni.

Ombi langu kwa wizi huu mpya"Husimpe mtu laini yako"

Sambaza uwezavyo kutoa elimu hiii.
Jamaa yangu alipigwa m1 kwa njia hiyo hiyo. Nilimwonea huruma sana.
 
Huu ni uongo mnazusha tuu, iko hivi mteja mpya akiwa na smartphone anaelekezwa a download app ya tigopesa ambapo atakuwa anafanya transaction ya miamala ya kifedha bila gharama kupitia tigopesa app. Haya ya kusema unaibiwa pesa na mawakala nakukatalia japo wapo wachache ambao sio waaminifu. Kumbuka mtu awezaye kukuibia pesa ni yule anayejua namba yako ya siri na upo karibu naye

View attachment 857499

Ha ha ha ha Usicheze na teknolojia kijana
Mimi nikiijua tu email yako unayotumia katika simu naweza kukupelekesha ukashangaa sana
Kujua namba ya siri sio muhimu we jifunze kwa walioumia kwanza.
wizi upo ena sana hata makampuni yenyewe yanatuibia tu, ila ndio hivyo usije ukatekewa sana na namba ya siri.

Unafahamu unaweza kutumiwa meseji na namba ngeni ukaisoma ukaachana nayo afu hiyo hiyo meseji ikatumika kukuliza?
Jifunze namna ya kujilinda sio kukariri.
Na kwa TZ hii mimi nimeona Kidogo Voda Wako vizuri sana katika ulinzi wa fedha za laia zao(Kwa M-Pesa tu) Lakini sio vinginevyo
 
asante kwa maelezo lakini

FANYA KAZI
 
Umeandika uongo! Watu wengi wanaoibiwa fedha kwenye simu wanakuwa kwa njia moja ama nyingine wametoa/wameibiwa namba zao za siri bila kujua. Njia nyingine ni wezi kushirikiana na wafanyakazi wa kampuni za simu!
 
Ha ha ha
Siku Moja hata iringa tu pale garden center ya mji utakutana na vijana kama wanachuo jaribu kudodosa dodosa utajua kijana
Hivi haujawahi kuona namba yako yasiri imebadirika gafla?
Siku umetumiwa he;la unaambiwa namba ya siri siyo!
Ukiona hivyo ujue bahat yako haukuwa na salio lasivyo ungekuwa ushalizwa.

Usikimbilie kusema uongo issue usizozijua jaribu kuuliza kwanza inakuwaje, Usifikirie hadi namba ya sirihaujawahi kuona wakala kampa mtu 1Mil then baadaye anashituka hakuna float?
Au ndio unaishi kwa kukariri tu?

kuwa mpole broo hakuna anayejua kila kitu vyema ungeuliza inakuwaje kuliko kuhukumu moja kwa moja kuwa muongo.
hayo ndio matatizo yakuanza kuijua teknolojia uzeeeni.
Jifunze broo ulimwengu hauko unavyojua tuu, jaribu hata kutembea tembea sio kila siku unapiga stori na wauza mitumba tu

natumia lugha hiyo kwasababu haujatumia busara
 
Asante kwa taarifa mkuu....vp lkn ulikutwa na huo mkasa au umewashtukia tu kimachale machale
 
Sawa mkuu umesomeka. Wezi wa mitandao watakuja humu kukupinga. Achana nao
Wizi wa fedha kwa njia za kimtandao Tanzania upo sana. Lakini mara nyingi watu hawagundui kilichofanya waibie. Na baadhi ya wezi wanajaribu kuvuruga watu kwa kutoa tahadhari za njia mpya za wizi zenye kujaa uongo ili watu wasigundulie wanavyoibiwa. Tatizo kubwa kabisa linalosababisha wizi ni kuwa watanzania wengi hawako makini! Hili tatizo utaliona kila mahali. Kuanzia kufanya kazi, kuhudumia wateja, kuandika, kutunza siri nk. Huwa nashangaa kweli kweli napoenda kwenye ATM na kuona jinsi watu walivyo wazembe kwenye kutoa fedha. Unakuta foleni ipo karibu kabisa na mashine na watu wanatoa mimacho kama fundi saa. Na mbaya zaidi watoa fedha hawachukui tahadhari. Hii inachangia sana kuvuja namba za siri na wezi kuiba. Na kingine ni watu kuwa waongo. Kuna baadhi wanadanganya wameibiwa ili kukwepa majukumu. Na mwisho ni ushirikiano na wafanyakazi wa kampuni za simu
 
Ha ha ha
Siku Moja hata iringa tu pale garden center ya mji utakutana na vijana kama wanachuo jaribu kudodosa dodosa utajua kijana
Hivi haujawahi kuona namba yako yasiri imebadirika gafla?
Siku umetumiwa he;la unaambiwa namba ya siri siyo!
Ukiona hivyo ujue bahat yako haukuwa na salio lasivyo ungekuwa ushalizwa.

Usikimbilie kusema uongo issue usizozijua jaribu kuuliza kwanza inakuwaje, Usifikirie hadi namba ya sirihaujawahi kuona wakala kampa mtu 1Mil then baadaye anashituka hakuna float?
Au ndio unaishi kwa kukariri tu?

kuwa mpole broo hakuna anayejua kila kitu vyema ungeuliza inakuwaje kuliko kuhukumu moja kwa moja kuwa muongo.
hayo ndio matatizo yakuanza kuijua teknolojia uzeeeni.
Jifunze broo ulimwengu hauko unavyojua tuu, jaribu hata kutembea tembea sio kila siku unapiga stori na wauza mitumba tu

natumia lugha hiyo kwasababu haujatumia busara
Technolojia unayojaribu kunifundisha mimi nilishaisoma soma tena kwa kiwango kizuri sana. Watu wengi wanakuwa tricked na kufanya namba zao za siri zijulikane. Kama mtu uko makini na mtu asipojua namba yako ya siri hawezi kufanya chochote.
 
DALILI MOJAWAPO ZA KUONYESHA KUWA NAMBA YAKO IMEDUKULIWA KWA AJILI A KUTOLEWA FEDHA

1.Namba ya siri kubadirika wakati haukubadili utagundua pale ambapo unahitaji kufanya miamala ya kifedha
2.Namba yako kutopatikana wakati iko hewani(Hii inaweza kukaa ndani ya masaa 480
3.Laini kufa gafla wakati hata huwa hauitoi katika simu wala haijavunjika(Ila unakuta tu haisomi katika simu)
4.Laini kuweka Emergence mara kwa mara wakati simu haikuwa na tatizo la nertwork na wala haupo sehemu yenye shida ya nertwok
5.Unabipiwa na namba hauijui kisha ukipiga Unaambiwa namba haipo(inaweza kukutokea mara tatu au mbili katika wiki)
6.Kukosa huduma ulizokuwa unapata toka mwanzo (Laini inakuwa kama mpya mfano ulikuwa unapata nipige tafu lakini gafla unaambiwa huwezi kupata uduma hii)

Yako mengi mengi kwakweli nimeweka haya ili tuweze kujulishana maana jano
 
Technolojia unayojaribu kunifundisha mimi nilishaisoma soma tena kwa kiwango kizuri sana. Watu wengi wanakuwa tricked na kufanya namba zao za siri zijulikane. Kama mtu uko makini na mtu asipojua namba yako ya siri hawezi kufanya chochote.
ha ha ha ha ha kusoma sio shida wenzako tushafanya sana kabla haujaokoka sio kusoma
 
Back
Top Bottom