Nimekutana na Chuma Kwenye Chupa ya Soda

Manjagata

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
17,580
Reaction score
20,624
Wadau naomba mwongozo wenu humu ndani. Hivi mteja ukikutana na kitu kisicho cha kawaida kwenye soda sheria inasemaje?

Je, kuna sheria ya kumbana huyu mtengenezaji au mpaka usubiri madhara yatokee ndio uende kushitaki?

Nilimwuliza mwanasheria mmoja akaniambia eti mpaka uwe na uthibitisho wa kitabibu kwamba hiyo soda imekuletea madhara.

Je, kweli sheria zetu ndio ziko hivyo? Mwenye ufahamu anifumbulie hatua za kuchukua kabla sijapata madhara!!
 
Sheria inasema kuwa mpole unapokutana na hali hiyo na kama utapiga blah blah bc na we japo uwe na kiwanda cha kushona nguo
 
Subiri ufe kwanza baada ya hapo ndio ufungue Mashitaka/Madai..
 
Kama chuma hakikwenda tumboni, hapo hamna haja ya kuwa na wasiwasi.
 
a
Wadau naomba mwongozo wenu humu ndani. Hivi mteja ukikutana na kitu kisicho cha kawaida kwenye soda sheria inasemaje?

Je, kuna sheria ya kumbana huyu mtengenezaji au mpaka usubiri madhara yatokee ndio uende kushitaki?

Nilimwuliza mwanasheria mmoja akaniambia eti mpaka uwe na uthibitisho wa kitabibu kwamba hiyo soda imekuletea madhara.

Je, kweli sheria zetu ndio ziko hivyo? Mwenye ufahamu anifumbulie hatua za kuchukua kabla sijapata madhara!!
anzia TBS watakulipa
 
Sasa watapata uhakika gani kama chuma kilikuwepo wakati soda zinakuwa sealed
 
Niliacha kunywa soda kabisa

Kuna watu wana tabia ya kukunja vile vizibo vya soda na kuvitupia kwenye soda wakati anakunyw( na mimi pia nilikuwa nikifanya hivyo)

Sasa siku moja nimenunua ile imefunguliwa nimepiga pafu moja naona kuna kizibo ndani

Nikamuita muuzaji kumuuliza naye analalamika mimi ni mteja wa tatu kukutana na hali hiyo toka siku sijanywa soda na sitegemei kunywa soda tena.
 
Wadau naomba mwongozo wenu humu ndani. Hivi mteja ukikutana na kitu kisicho cha kawaida kwenye soda sheria inasemaje?

Je, kuna sheria ya kumbana huyu mtengenezaji au mpaka usubiri madhara yatokee ndio uende kushitaki?

Nilimwuliza mwanasheria mmoja akaniambia eti mpaka uwe na uthibitisho wa kitabibu kwamba hiyo soda imekuletea madhara.

Je, kweli sheria zetu ndio ziko hivyo? Mwenye ufahamu anifumbulie hatua za kuchukua kabla sijapata madhara!!
Kiongoz tunapataje uhakika kama hicho chuma hujatoka nacho gereji ya chuma chakavu huko?.
 
Mimi nilikutana na mshumaa ndani ya soda
Niliacha kunywa soda kabisa

Kuna watu wana tabia ya kukunja vile vizibo vya soda na kuvitupia kwenye soda wakati anakunyw( na mimi pia nilikuwa nikifanya hivyo)

Sasa siku moja nimenunua ile imefunguliwa nimepiga pafu moja naona kuna kizibo ndani

Nikamuita muuzaji kumuuliza naye analalamika mimi ni mteja wa tatu kukutana na hali hiyo toka siku sijanywa soda na sitegemei kunywa soda tena.
 
Niliacha kunywa soda kabisa

Kuna watu wana tabia ya kukunja vile vizibo vya soda na kuvitupia kwenye soda wakati anakunyw( na mimi pia nilikuwa nikifanya hivyo)

Sasa siku moja nimenunua ile imefunguliwa nimepiga pafu moja naona kuna kizibo ndani

Nikamuita muuzaji kumuuliza naye analalamika mimi ni mteja wa tatu kukutana na hali hiyo toka siku sijanywa soda na sitegemei kunywa soda tena.
Chupa huwa zinasafishwa na kupigwa label upya, hiyo yako wafanyakazi hawakua makini
 
Soda tatizo kwa afya...ila hakuna nafasi ya watu kupewa elimu hyo.....ukikutana na daktar akakuambia achana na soda mshukur sana.
 
Back
Top Bottom