Nimesoma sehemu faida nyingi zinazopatikana ndani ya Soya, ila nimekatwa maini baada ya kuambiwa kuwa Soya inayo sumu ndani yake, ambapo kama hujaiondoa Sumu hiyo, basi itasababisha matatizo...
Habari wakubwaaa
Naombeni msaada wa address / sanduku la posta! Mkurugensi wa Elimu wa elimu mkoa wa kilimanjaro na mkurugensi wa elimu wila ya ya moshi!!
Naombeni msaadaa wakuuu[emoji24]
Hii ndio list ya ajira zinazohitaji kusema uongo ili uweze kufanikiwa..
A.Waongo wa waziwazi
1. Wanasheria
Huyu siku zote lengo ni kumtetea mteja na sio ukweli.
2. Viongozi wa dini
Hawa ni...
Wakuu habari za ijumaa !
Kama mada ilivyo hapo juu, kuna mtaa unaitwa tabata kisiwani karibu na zilipo ofisi ya mwananchi. Mtendaji wa mtaa huu amekuwa akitumia madaraka yake vibaya kupitia kile...
John BoltonVerified account @AmbJohnBolton
FollowFollow @AmbJohnBolton
More
Excellent news: UK has detained the supertanker Grace I laden with Iranian oil bound for Syria in violation of EU...
Habari za wakati huu wana jf....
Nataka luwaeleza wanaopanda daladala wakiwa na watoto wadogo, UKIKOSA NAFASI YA KUKAA usikurupuke kuomba mtu akusaidie mtoto.
Kuna ugonjwa hatari sana unaitwa TB...
Dale Carnegie aliwahi kusema kuwa *“If you want to Conquer Fear, Don’t Stay Home and Think About It, Go out and Get Busy* (Ukitaka kuishinda Hofu usikae nyumbani na kuendelea kuitafakari, toka na...
Wakuu, Salaam.
Hili jambo limekuwa likinitatiza.
Kufunga mkanda uwapo ndani ya gari ni issue ya usalama binafsi lkn pia na sheria ipo kuweka mkazo.
Polisi wamekuwa wakisimamia hili vizuri tu hasa...
Inaweza kuingia kwenye kumbukumbu za ajali zilizoacha maswali mengi kuliko majibu
Je kisayansi hii inawezekana?
Je tunaweza kusema kuna nguvu za giza zilitumika hapa?
Iangalie hii video kisha...
Wanabodi
Naimani huku jukwaani kuna wajuvi wa haya mambo au wachawi kabisa so nimejiuliza
Je wachawi hawawezi kuiba pesa ?
Kama jibu ni ndio mni pm mapema !
Kama sio kwa nini?
Kuna ukweli...
Good morning ladies and gents,
Wakuu katika pitapita zangu kwenye mtandao pendwa wa Instagram kutafuta wauzaji wa bidhaa za ujenzi nimekutana na kitu kilichoniacha na maswali mengi bila majibu...
*TAHADHARI KUTOKA JESHI LA POLISI*
Ukiwa una endesha gari usiku na ghafula mayai yakirushwa kwenye kioo chako cha mbele cha gari , usisimamishe gari ,wala usiwashe wiper za gari lako au kumwagia...
Habari ya muda huu wanajanvi.....
Kama mada inavyo jieleza hapo juu,
Jumuia ya kiuchumi ya nchi za Afrika magharibi yaani "ECOWAS "
ambayo ni jumla ya nchi wanachama wapatao 16.
Jumuia...
Bila kujali kiwango cha Elimu yako, mali na pesa zako au idadi ya watu wanaokuzunguka. Kuna nyakati unaweza kuzipitia na kujiona wewe ni mtu wa kufeli zaidi kuliko wote duniani. Sio wewe pekee...
Rafiki yangu nimemaliza nae chuo pamoja yupo vizuri tu, afya Safi.. Akapata scholarship ya America ikabidi process zianze jamaa akaambiwa apime..
Hapo ndipo jamaa tulipoanza safari ya kumkosa...
Wakuu matukio ya kutekana/ kujeruhiwa ama kutaka kuuliwa yamekua prevalent sana katika serikali hii ya awamu ya tano,
Cha kushangaza,mkuu Jiwe kakaa kimyaaa, hata kuyaropokea kama anavyofanyaga...
Katika jitahada za mapinduzi ya viwannda wapo wanao kwamisha ..
Pasipo kujari afya, maendeleo ya masoko na uchumi..
Bado watu wanaendelea kutengeneza bidhaa feki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.