Hii ajali imewashangaza wengi

Hii ajali imewashangaza wengi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,504
Reaction score
872,362
Inaweza kuingia kwenye kumbukumbu za ajali zilizoacha maswali mengi kuliko majibu
Je kisayansi hii inawezekana?
Je tunaweza kusema kuna nguvu za giza zilitumika hapa?
Iangalie hii video kisha toa maoni yako kwa mtazamo wako
 
View attachment 1147909

Hapo hakuna Sayansi wala nguvu za giza ni maakadirio tu ya Muumba.

Hiyo gari inaonekana ilianza kupindukia mbali, katika kukuru kakara za kubiringika ikaja kukomea kwenye nguzo ya umeme,na inaonekana nguzo nayo ilikuwa stable kidogo kutokana na mzigo uliobeba.
 
Naamini bado kuna mtu au watu walikuwa ndani asee sijui wanaendeleaje!
 
Ati, gari imejinyonga?
Hata sijavuta, sema nimepita kijiweni kuwagei hai masela nikchota oxjen yenye mchanganyiko.
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Hapo hakuna Sayansi wala nguvu za giza ni maakadirio tu ya Muumba.

Hiyo gari inaonekana ilianza kupindukia mbali, katika kukuru kakara za kubiringika ikaja kukomea kwenye nguzo ya umeme,na inaonekana nguzo nayo ilikuwa stable kidogo kutokana na mzigo uliobeba.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] ila kisayansi hapo kuna application ya nguvu ya uvutano, (gravitational forces) na central gravity force kwenye equilibrium... [emoji2][emoji2][emoji2]dah kumbe na mimi kwenye sayansi nimo [emoji123][emoji106][emoji115]
 
Hapo hakuna sayansi wala nguvu za giza bro mshana jr, ni Qudra za Allah,,, tunamuomba Allah atunusuru na ajali n.k
 
Hii ni kiimani
Akija mtu wa sayansi atakupa formula zake
Akija mshirikina ante hatakosa kusema kitu
Akija mwana mahesabu ndio usiseme
Mpaka geography hapo iko applicable
Kwani katika hayo makundi we upo wapi....
 
Sisi wa Freebasics tunapataga shida sana mnapoweka video,tunaishia soma comments tu.....
[emoji2][emoji2][emoji2] kuna mkombozi wa bundle za ofa anaitwa mwanafunzi kwa Kiswahili
 
Back
Top Bottom