nimegundua twitter ndio kuna majamaa yanajiamini kuliko hata jf.
wanawatoa povu hadi mawaziri.
Humu tumebaki wastaarabu tu, Kule jamaa wanamchana hadi mkuu kwenye ID yake.
JF sijui inaogopwa kwa lipi. Watuache na mtandao wetu huu unatupa raha
Ingekuwa kila post unayoandika kuhusu anachofanya huyu Baba unalipwa ungekuwa bilionea.Wakati anampa UK tausi alisema anajua kuwa wataandika sana. Kumbe anafuatilia yxnayoandikwa mitandanaoni ikiwemo JF
Mawazo yako tu bibi,vipi magazeti wakiandika?Wakati anampa UK tausi alisema anajua kuwa wataandika sana. Kumbe anafuatilia yxnayoandikwa mitandanaoni ikiwemo JF
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Hahaha tuna ananza na ww
UK nchi au nani?Wakati anampa UK tausi alisema anajua kuwa wataandika sana. Kumbe anafuatilia yxnayoandikwa mitandanaoni ikiwemo JF
Huwa nnavutiwa sana na mchango wako kwenye masuala ya afya, ila kwenye kumkosoa tu mkuu hapo ndo huwa tunapishana.Wakati anampa UK tausi alisema anajua kuwa wataandika sana. Kumbe anafuatilia yxnayoandikwa mitandanaoni ikiwemo JF
Hata mimi huwa najiuliza sijui alimfanyia nini, huwezi kumchukia mtu kiasi hicho.Ingekuwa kila post unayoandika kuhusu anachofanya huyu Baba unalipwa ungekuwa bilionea.
Wengine wanakuwa hawana cha kupotezanimegundua twitter ndio kuna majamaa yanajiamini kuliko hata jf.
wanawatoa povu hadi mawaziri.
Humu tumebaki wastaarabu tu, Kule jamaa wanamchana hadi mkuu kwenye ID yake.
JF sijui inaogopwa kwa lipi. Watuache na mtandao wetu huu unatupa raha
Anamsema JPM kampa UK(Uhutu Kenyatta) tausiUK nchi au nani?
Ni mkumbo tuHata mimi huwa najiuliza sijui alimfanyia nini, huwezi kumchukia mtu kiasi hicho.
Ingekuwa kila post unayoandika kuhusu anachofanya huyu Baba unalipwa ungekuwa bilionea.
Apparently usipomponda huyu bwana wewe huna akili. Hizi ni juhudi za kuonekana akili zipoMm huwa nawashangaa watu wengi walio nje ya nchi kuponda kila kitu kama hamna mazuri yanayofanyika wakat wengi wao hawana mchango wowote wa maana ktk taifa
Niliwahi kuhoji kitu kuhusu Lissu, huyu mama alinimaindi kinoma.Ni mkumbo tu
Ndio Jamii yetu hii tuvumilianeNiliwahi kuhoji kitu kuhusu Lissu, huyu mama alinimaindi kinoma.
Hizi zingine bullying sasa.....Bi kidude kila mtu anahaki ya kupita kwenye mitandao ya kijamii ikiwepo jf ilimradi asikiuke na kukiuka forums rules.
We matunduizi mbona wewe usiwe mfano tukufuatenimegundua twitter ndio kuna majamaa yanajiamini kuliko hata jf.
wanawatoa povu hadi mawaziri.
Humu tumebaki wastaarabu tu, Kule jamaa wanamchana hadi mkuu kwenye ID yake.
JF sijui inaogopwa kwa lipi. Watuache na mtandao wetu huu unatupa raha