Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu Habari za saizi na imani wote ni wazima na kama ni ndio basi Mungu apewe sifa ... Je process gani za kufata
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Awamu ya Tano inanuka Damu! Kitu pekee walichoweza kuchunguza ni siku ambazo T. Lissu hakuwepo bungeni. Ila wasiojulikana mpaka leo imeshindikana. HAKI YA MNYONGE HAIPOTEI HATA KAMA ITACHELEWESHA.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa Mara ya kwanza huyu binti alivyopatwa na ile misukosuko ya kukamatwa kuwekwa ndani wengi tulitegemea safari hii labda angebadilika baada ya kutoka... Lakini sasa hata miezi sita haijapita...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
Junior Bakari Siame mwanafunzi wa Darasa la tatu shuke ya Msingi ya Hanga, ametekwa na kunyongwa hadi kufa Baba mzazi alipigiwa simu na mtekaji kwamba atume hela ya kumkomboa mtoto, Mzee Bakari...
5 Reactions
65 Replies
11K Views
Aaaagh! Kijana kaniboa sana. Leo nikiwa katika moja ya Ofisi zangu za betting nikikagua mahesabu, kuna kijana mmoja kacheza Game ya mbio za Farasi kaliwa laki8! Eti anaanza kumletea fujo...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
"I want to apologise," he said later. "I could have avoided it and I also need to grow up a lot." Brazil looked in control from then on, but the game took another twist midway through the second...
0 Reactions
1 Replies
853 Views
Haiwezekani utende unguruwe,alafu uachwe tu hivi hivi. Ukiishi kama nguruwe asiyetahiriwa lazima ulipe.Namaanisha haiwezekani utende unguruwe alafu uachwe tu hivi hivi.Kwa ubaya wowote unaotenda...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Gari la shirika la posta Ruvuma linafanya safar ya Songea makambako kwa kupakiza abiria na uku likiwa na usajir wa shirika la uma.Kama hii kitu inawezekana basi mashirika mengine yaige mfano huu...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Hawa wanazuoni wametudanganya juu ya hii miaka ilioko. Leo hii hata huu mwaka tulionao sio mwaka 2019 itabidi wataalamu hata wa humu akina Jr mshana Rakism Kiranga na wengine wathibitishe hili...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Ni mazungumzo yaliyochukua zaidi ya masaa3 ambayo yalilenga kukuza amani na mshikamano katika nchi hizi mbili. Marais hao pia wamezungumzia maswala ya kukuza uchumi katika nchi hiz mbili ili...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Nimesikiliza taarifa ya Waziri Ummy Mwalimu kwamba homa ya dengue takwimu zake zinaonekana maambkizi kuteremska hasa Kwa wilaya ya kinondoni binafsi nimeshtushwa maana utafiti unaoelezwa...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
Za mida wakuu.... Kama kichwa kisemavyo..... Sikuwai kupenda maisha ya shule ya msingi na secondary... Kwasababu... 1.Fimbo...kiukweli nilikua sipendi fimbo 2.Njaa kali...mda mwingi nilikua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarani Wakuu,, Niende kwenye mada moja kwa moja ,kwa uzoefu wangu wa kuishi nyanda zote za Tanzania kusini na kaskazini, nahitimisha kwa kusema miji midogo ya nyanda za juu kusini imechangamka...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Kama wasemavyo waswahili wakati ni ukuta kadri miaka inavyokwenda umri nao unazidi kuyoyoma. Mpaka hapo ulipofikia kuna matukio mengi umewahi kupitia katika maisha yako ambayo huwezi kuyasahau...
2 Reactions
78 Replies
9K Views
Habari wakuu! Ninatafuta kazi ya kujitolea kwenye campsites za watalii ili niweze kupata uzoefu maana kazi imekuwa ngumu kupata.. -Mimi nina miaka 20 -Nimesoma wildlife,Tourism and tourguiding...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mara zote nimeitumia kwenye masuala yangu ya kiofisi kwa kutuma na kupokea documents , lakini leo zinagoma kufunguka kabisa , hata documents ninazotuma nazo zinagoma kufunguka huko ninakotuma ...
14 Reactions
173 Replies
17K Views
Inakadiriwa kuwa mnyama huyo huishi kwa kipindi cha miaka 20 akiwa katika pori. Lakini hiyo ilikuwa inafahamika zamani kipindi ambacho mnyama huyo alikuwa anaonekana tofauti na sasa. Kuna aina...
6 Reactions
26 Replies
9K Views
Nachukizwa Sana na hili jambo sidhani Kama wewe lishawahi kukükuta kila nikiwa kwenye foleni ikifika zamu yangu Mtoa huduma ndio ana nyanyuka na kuondoka Nimefanya risechi iwe ni Hospital Bank...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Habar zenu wakuu moja kwa moja kwenye mada napenda kuwasilisha mada itakaye mugusa achukue hatua Binafsi kabla sijasogeleana karibu na Mungu wa mbinguni ktk.maisha yangu kila leo changamoto...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwisho wa dunia !! Pichani Kulia mwanaume huyo amedakwa na police wa Naija Kwa kumnyanyasa kingono, kumpa mimba na kumlazimisha kutoa binti yake huyo wa kumzaa pichani mwenye miaka 15 huku mama...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom