SerA ya viwanda inapoenda kombo

SerA ya viwanda inapoenda kombo

wa hapahapa

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
7,460
Reaction score
4,404
Katika jitahada za mapinduzi ya viwannda wapo wanao kwamisha ..

Pasipo kujari afya, maendeleo ya masoko na uchumi..

Bado watu wanaendelea kutengeneza bidhaa feki...
 

Attachments

  • IMG_20190708_210508_4.jpg
    IMG_20190708_210508_4.jpg
    135.2 KB · Views: 28
Hata Original yake siijui. Endeleeni na ulevi wenu. Mtakunywa hadi nyongo za Mamba

Kwa Tz Ni kawaida tu .. Hadi ArV feki.

Tatizo watengenezaji nao wanapita njia sio halali kujipatia kipato.. kwa kutengeneza bidhaa feki....
 
Hii ilikua ya kuwaombea kura

Watz sio wajinga.

Sio lazima tufuate Sera za chama tawala.. zipo Sera zingine za kimataifa kwa nchi masikini Ni mwongozo wa kutosha. co hz Sera za kisiasa za ukoloni mamboleo kwa afrika...
 
Back
Top Bottom