Angalizo: Kwa usalama wako kama una afya nzuri na huwezi vumilia stress usiende kupima VVU

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,104
2,000
Rafiki yangu nimemaliza nae chuo pamoja yupo vizuri tu, afya Safi.. Akapata scholarship ya America ikabidi process zianze jamaa akaambiwa apime..

Hapo ndipo jamaa tulipoanza safari ya kumkosa hivi hivi.. Kwa stress mwili unapungua kila siku chanzo.. Amekutwa positive HIV..

Nikawaza kwanini jamaa aanze kupungua hivi baada ya positive? Shida imeanza wap? Mbona alikua mbafu nene?

Jamaa Hana Amani Anaisha kila siku. Hebu chukua ujumbe huu Kisha tafakari maisha yako na Kisha mshauri ndugu yako usikatize uhai Bure ndugu yangu kwa niliyoyaona siwez jipelekea Angaza Adi niwe nimejitafakari vizuri!
 

squirtinator

JF-Expert Member
Sep 20, 2015
2,771
2,000
Rafiki yangu nimemaliza nae chuo pamoja yupo vizuri tu, afya Safi.. Akapata scholarship ya America ikabidi process zianze jamaa akaambiwa apime..

Hapo ndipo jamaa tulipoanza kimkosa hivi hivi.. Kwa stress mwili unapungua kila siku chanzo.. Amekutwa positive HIV..

Nikawaza kwanini jamaa aanze kupungua hivi baada ya positive? Shida imeanza wap? Mbona alikua mbafu nene?

Jamaa Hana Amani Anaisha kila siku. Hebu chukua ujumbe huu Kisha tafakari maisha yako na Kisha mshauri ndugu yako usikatize uhai Bure ndugu yangu kwa niliyoyaona siwez nipelekea Angaza Adi niwe nimejitafakari vizuri!
kiukweli, psychology inasehemu kubwasana ya kummaliza mtu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom