Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanza nitoe pongezi kwa serikali kufufua shirika hili la Ndege la Taifa. Baada ya pongezi, nieleze masikitiko juu ya utaratibu mbovu wa uahirishaji wa muda wa safari za abiria bila kutoa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mimi nimeona niulize swali hili baada ya kusoma history ya tajiri no 1 Africa dangote ambae alipewa mtaji wa biashara na mjomba wake ambao ameendeleza mpaka Leo hii. Hii ni tofauti na hapa kwetu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Basi la kampuni ya Kidio One na lori yamegongana uso kwa uso katika daraja la wami mkoani Pwani leo asubuhi Septemba 2, 2018. Basi hilo lilikuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Arusha. Chanzo cha...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
KWANINI TUNAPIGANA NA KUANZISHA VITA AMBAYO TUNAJUA HATUTASHINDA? KWANINI TUNALIPA UBAYA KWA WEMA. Kwa matokeo yalivyo hadi sasa hakuna dalili yeyote ya sisi kushinda hii vita,vita ambayo haikuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
FUATILIA KISA HIKI CHA PATRICK. Patrick Oita Nyapara police jamii nchini Kenya alimuua mpenzi wake kwa kumtandika Risasi 47 baada ya binti huyo kujifanya mjanja. Kwa maelezo ya Patrick ni kwamba...
8 Reactions
62 Replies
9K Views
Wengi tulipenda kukuita James bond, akili kubwa,master, Michael scofield,Mr fursa,jasiri mfungua njia,the don,boss ruge na mengine mengi. Hayo majina yote hapo juu uliendana nayo kutokana na moyo...
11 Reactions
73 Replies
7K Views
Chumba na senile,Choo,jiko na maji.Mbagala kuu karibu na stand mpya.0715886671.
0 Reactions
3 Replies
938 Views
Tunaomba msaada kwako Waziri wa Elimu utusaidie kwa hili Mtu umetumikia kusoma miaka kadhaa either O level ama High School baada ya kuhitimu let's say 2005 cheti/Certificate ikapotea au kuungua...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna hii sheria ambayo wengi hawaifahamu lakini ukiijua na kuifuata itakusaidia sana hasa pale unapotafuta mwenza wako! Sheria hii inasema hivi "Mwanaume unapotafuta mwenza wako, chagua ambaye ni...
10 Reactions
67 Replies
11K Views
Wadau poleni na uchovu wa siku ya leo. Bila shaka ndio mnaelekea uwanja wa mkapa kushuhudia taifa stars ikishusha kipondo kwa Uganda. Nije kwenye mada, ndugu zangu leo nimeshuhudia kitendo...
10 Reactions
91 Replies
15K Views
Unataka kuwa star ? Unataka kushine? Unataka nyota yako i shine katika jambo unalo fanya?. Iwe ni biashara, kazi, kipaji etc.? Ukitaka nyota yako ing'ae basi nenda gizani. Nyota yako haiwezi...
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Jamii(SSRA), Irene Isaka ametoa ufafanuzi huo Amesema kuwa kwa mujibu wa sheria na kanuni za sasa Mjane au Mgane ataendelea kupokea pensheni hiyo...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Ninaihitaji sana tena sana kama unayo ni pm weka na bei kabisa
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Mbunge wa viti maalum CCM Mkoa wa Arusha ,Catherine Magige amewachefua wanaccm Wilayani Arumeru baada ya kutumia ziara yake kujijenga kisiasa kwa kutoa rushwa ya vitenge ,Fedha tasilimu ,mashine...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Handeni. Juma Hemedi (45) mkazi wa mtaa wa Kwamaraho kata ya Malezi wilayani hapa, anashikiliwa na polisi akituhumiwa kumuua mkewe Amina Husein (38) kwa kumchinja shingo. Kamanda wa polisi mkoa...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Hili swali nmeulizwa leo na mzee mmoja ambaye ni kutoka Zanzibar. Lakini anasema amezunguka sana Tanzania kikazi. Huyu mzee ni fundi mzuri sana wa Mercedes Benz. Anasema amezunguka almost...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Kunajamaa nimebishana nae kwamba first year aliishi hostel na amejenga kibaha pia anapikipiki. so anaona kupanga kwake ni ishu! kwaiyo anataka daily atokee kwake kwa pikipiki mimi nilimkatalia ila...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Viongozi mbali mbali wa serikali wakiongozwa na waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Harrison Mwakyembe wamewasili katika viwanja vya kituo cha runinga cha Azam kwa ajili ya kuaga miili...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Kuna haja ya kuliangalia swala hili kwa kina unakuta ng'ombe au punda wamebebeshwa mzigo mkubwa mfano maguni ya mpunga au mahindi huku wakilazimishwa kukimbia kwa mijeredi mpaka unakuta punda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mimi na director wa kampuni flani kubwa hapa tz tulikuwa na kikao na wageni toka nje wa kampuni hii hii ninayofanya kazi ila toka nchi nyingine. kampuni yetu ina matawi nchi 95 Duniani. kwa AFrica...
37 Reactions
75 Replies
9K Views
Back
Top Bottom