Habarini wana jamvi!
Naomba kujua kama kuna mtu kalipwa fao la kukosa ajira toka PSSPF, binafsi nipo Mbeya nimetoka jana kuuliza vipi lile agizo la mheshimiwa raisi wakasema niwe na subira watu...
Kwanza nitangulize makala yangu kwa kuwaomba msamaha wale nitakao wakwaza kwa mawazo na maoni yangu.
Hii miaka ya karibuni kumetokea na wimbi la watu kupotea na baadae kuonekana. Wahusika wakuu...
Huyu Israeli alianza Kutuliza pale njia panda ya Coca Cola ambapo aliondoka na Wawili kisha akatusahaulisha kidogo akaja tena kuondoka na mwingine pande za Mikocheni Industrial area ambapo...
Ilikuwa muda wa saa 10 usiku tarehe 14 mwezi wa 2 mwaka 2013 natokea Ubungo naelekea Mwenge ambapo nilipata ajali round about pale Mwenge Vinyago.......**
Nikiwa na gari aina Mark II Grande ya...
Hizi ajali nyingi ni matokeo Ya Ufinyu wa barabara zetu, Tukiendelea kua na Barabara hizi Single kwa masafa marefu itatugharimu tu ...
Ingekua vema badala Ya kujenga njia 8 tokea kimara hadi...
Kumetokea ajali kwenye daraja linalounganisha mikoa ya Kaskazin eneo la Wami
Hakuna vifo bali majeruhi
Chanzo ni basi la Hood kushindwa kushika breki na kugongana uso kwa uso basi aina ya...
Habari..
Katika pitapita zangu nilikutana na long time friend facebook anauza vyombo vy kuwekea maua ambavyo anatengeneza mwenyewe kwa teknolojia rahisi tu...
Pia nina dadaangu mmoja ni flower...
Tulieni Hapo Hapo
Wanasema ukitapeliwa wewe jikaushe tu ili usiwahadithie watu ujinga wako.
Vyombo tajwa hapo juu watangazaji wao ambao walikua wanajifanya kutaka kumwangusha Diamond wao...
Niaje....
Nawapa salamu machalii wote na warembo wote tuliochelewa kuanza mambo ya kikubwa...
Mara ya kwanza nimekata shauri kuyaanza... Nikatulia nikachagua binti mmoja hivi... Mzuri na kaguu...
Wakuu nipo namsaidia mdogo wangu kureset password kwenye website ya RITA ili aweze kuona matokeo ya uhakiki wa vyeti vyake.
Kila nikijaribu napata ujumbe huu "Your reset password key is invalid"...
Kauli ya Waziri wa mwenye dhamana wa usalama wa maisha ya raia na mali zao ya kuruhusu magari ya abiria kuanza safari za usiku inahitaji kufikiriwa upya kabla ya utekelezaji.
Japo kuna faida za...
Wakuu, naomba kuuliza. Kuna taarifa kuwa ili kusafiri nje ya nchi kuanzia July mosi ni lazima kutumia Pasi mpya. Kwa upande mwingine kuna taarifa kuwa mwisho wa kutumia pasi za zamani ni Januari...
Aina ya maisha (Life style) ya watu wa pwani na baadhi ya watu wa bara ambayo yanaitwa maisha ya Kiswahili ni maisha yanayoaksi aidha Uhindi ama Uarabu.
Lakini "uswahili" asili yake ni kuiga...
Mh tundu lissu anatarajiwa kutua katika ardhi ya tanzania septemba mwaka huu baada ya matibabu ya takrebani miaka 2 nje ya nchi kufuatia shambulio la risasi mwaka juzi
Wasiempenda anakuja
Leo nmeamka baada ya kumaliza mjukumu yangu ya siku nikawa nafanya throwback ya headlines mbalimbali na maisha yangu kwa ujumla but kuna kitu kikanijia kichwan "TANZAGIZA"
Hivi hii reliable source...
Kanisa la EAGT Sayuni lililopo kata ya Sinoni ,jijini Arusha linalomilikiwa na Askofu Leonard Mwizarubi limenusurika kubomolewa kwa amri ya Mahakama baada ya kubainika kuwa kanisa hilo na wakazi...
Dani Alves amekuwa mchezaji wa kwanza kwenye soka kushinda na kubeba makombe 40 uhakika hakuna anayemfikia kwa mafanikio,
6️⃣ La Liga
5️⃣ Spanish Supercup
5️⃣ Copa del Rey
4️⃣ European...
Finaland ina mfuno wake wa elimu ambao unavutia sana.
1. Mtoto anaanza shule akiwa na miaka 7. Hakuna kuanza shule chini ya hapo. Lengo ni kwamba huo ndio umri sahihi wa mtoto kuanza kujifunza...
Nimesoma kwenye Social Media kuwa TFF imemtupia virago Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike.
Binafsi mimi sikubaliani na uamuzi huo na ninauona kama uamuzi wa haraka mno bila kuangalia chanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.