Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,281
- 7,476
Habari za wakati huu wana jf....
Nataka luwaeleza wanaopanda daladala wakiwa na watoto wadogo, UKIKOSA NAFASI YA KUKAA usikurupuke kuomba mtu akusaidie mtoto.
Kuna ugonjwa hatari sana unaitwa TB na huambukizwa kwa njia ya hewa. Pia yapo magonjwa mengine mengi tu mwanao atayapata ubaki kulalamika bila kujua chanzo ni nini kumbe ni vile uliomba ubebewe mtoto na mtu asiyejulikana.
USILALAMIKE MWANAO AKIUGUA MAGONJWA YA AJABU KUMBE UVIVU WAKO NDILO TATIZO,
Ukiona mtu hajakupisha ukae ilhali una mtoto tambua huyo ni mgonjwa na anaenda hospitali.... SIYO KILA UNAYEKUTANA NAYE ANA AFYA NJEMA.
Nimeandika hivi baada ya jana kukutana na dada mmoja analalamika eti kuna mtu ana roho mbaya kashindwa kumbeba mwanae kwenye daladala. KAMA VIPI MNUNULIE MWANAO GARI.