hyassin92
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 581
- 636
*TAHADHARI KUTOKA JESHI LA POLISI*
Ukiwa una endesha gari usiku na ghafula mayai yakirushwa kwenye kioo chako cha mbele cha gari , usisimamishe gari ,wala usiwashe wiper za gari lako au kumwagia maji, kwa sababu ukifanya hivyo mchanganyiko wa mayai na maji utakuwa mzito na utazuia usiweze kuona mbele kwa 92.5% na itakulazimu kupaki gari pembeni ya barabara .na kwa kufanya hivyo itasababisha kuibiwa au kufanyiwa jambo lolote baya na vibaka , kwani hii ndiyo mbinu yao mpya wanatumia sasa hiv kuwaibia watu.
Ni vyema kuwajulisha marafik zako ,ndugu na jamaa ili waweze kujilinda.
CC.