Wanabodi,
Nina Dharura ya SOS, Namtafuta Member GFSONWIN Urgently, ASAP, Mwenye Number Yake Anitumie 0754 270403, au mtumie tuu sms Pasco anamtafuta. Please help!.
P
Update.
Asanteni nilimpata...
Kuna ulazima wa kiongozi kujenga au kuboresha eneo au sehem alikozaliwa kwa kutumia fedha za umma ambazo hazijaidhinishwa na bunge??
Tokea kuanza kwa awamu ya tatu tumeshuhudia viongozi wa aina...
Kama mbinguni wataenda wenye moyo safi, na matendo mema basi matajiri karibu wote wataenda mbinguni. Nashuudia bwana Dr. Mtembei kwa msiomjua yeye ndie boss wa st Matthew, st marks, ujenzi...
Kwa kuwa sasa hivi chato imekuwa ndiyo sehemu hot ya ku invest kutokana na umuhimu wake kwa taifa na maliasili zisizizopatikana popote pale nchini nawakumbusha wahusika kwamba wakati wanjenga hilo...
...mitihani yenu "mnayotunga" maswali yake mnaya-copy kutoka ACCA, CIMA na/au CPA ya Canada. Wakati huo huo mnadai watu wenye ACCA, CIMA na/au CPA ya Canada hamzitambui qualifications zao hadi...
Kwenu Waandishi Wa Habari. Toka jana tunaomboleza vifo vya ndugu zetu waliopoteza maisha huko mkoani Singida,lakini ka hitilafu kadogo ni vema kangerekebishwa pale ambapo panatangazwa marehemu...
Wakuu awamu hii inavituko sana.
Jamaa wanaona nina pesa balaa wakati siko vizuri kabisa.
Ukipiga mzinga wanaona unawasanifu,
Usipochangia mambo ya kijamii wanaona ni mchoyo.
Ukiwaambia hawataki...
Habari za muda wanajamvi, kuna kitu nimekuwa nikikiwaza kwa muda sasa bila kupata majibu.
Twende moja kwa moja kwenye mada, hivi serikali imeshindwa kweli kuona fursa kwenye hizi shule za...
Habari ya siku nyingi sana wanajamvi wenzangu,nimepita hapa Dodoma kikazi kiukweli sijaelewa mji mzuri kama huu unakosa stendi ya Dala dala,katika kuuliza nikaambiwa pale jamatini ndipo dala dala...
Habari,
Hivi inakuwaje Nchi kama MOZAMBIQUE Sisi tunaiita MSUMBIJI?
Hivi Wenyewe wanajua kweli kuwa tunawaita hivyo
Huwa najiuliza sana.
Hebu nitajie na nchi nyingine ambayo tumeipa jina kwa...
Niombe tu mjeshi mmoja awe kutoka JW au polisi ajitolee kumfundisha kamanda mkuu wa jeshi la wanyamapori Dr Kigwangalla namna ya kupiga salute kiaskari.
Leo pale mbughani salute za Waziri...
Habarin wandugu
Leo nmeona nijibu maswali machache ambayo yaliulizwa kwenye thread yang ya Jana na nitaelezea Mambo mengine machache kidogo
Namna ambavyo kazi inavopatikana
Kuna njia nyingi...
Inawezekana kwa namna moja au nyingine sifahamu vizuli lakini nimekuwa nikijiuliza ni kwanini wakenya na waganda wanazungumza sana kiingereza kuliko sisi watanzania licha ya sisi wote tumetawaliwa...
Wakuu tupo pamoja.
Moja kwa moja kwenye mada.
Naomba tubadilishane mawazo hapa Kuhusu hivi vitu.
Katika matumizi ya mwanadamu au viumbe hai tunaona kua udongo umemiliki kila kitu duniani...
Katika toleo maalumu la hivi karibuni jarida maarufu la Forbes Africa limeichambua sekta ya mawasilano ya simu nchini Tanzania kwa kuangalia ni kwa namna gani imeweza kulinufaisha taifa...
Za jioni wakuu,
Madereva wa hii kampuni wako very rough. Kuna siku mmoja aliwahi kuikwaruza gari yangu halafu akakimbia..
Leo nimeshuhudia overtake mbaya sana kwenye corner.Basi no. T 575 BVD...
Tanzania imeelezwa kuwa na Upungufu wa Tani zipatazo 350,000 za Samaki kwa mwaka huku mahitaji yakiwa ni Tani 700,000 ambapo kwa mwaka kiasi cha tani 350,000 kinazalishwa,hivyo watanzania...
Kwa mujibu wa Dr.Karl Albrecht kupitia kitabu chake cha “Stress and Manager”(1979) anasema kuna aina nne za “Stress” ambazo mtu hukutana nazo kila siku.
AINA YA KWANZA: TIME STRESS (Stress...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.