Naombeni msaada!

Naombeni msaada!

KUDOLE CHA MWISHO

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
407
Reaction score
898
Habari wakubwaaa

Naombeni msaada wa address / sanduku la posta! Mkurugensi wa Elimu wa elimu mkoa wa kilimanjaro na mkurugensi wa elimu wila ya ya moshi!!

Naombeni msaadaa wakuuu[emoji24]
 
Huku ukishaandika "msaada" watu wanapata ukakasi. Hata kama sio msaada wa hela.

Unaonaje ukigoogle? Maana huyo "mkurugensi" hajulikani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom