Nisaidieni jinsi ya kuandaa Soya, maana nimeambiwa huwa ina sumu.

Sauda

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
860
1,106
Nimesoma sehemu faida nyingi zinazopatikana ndani ya Soya, ila nimekatwa maini baada ya kuambiwa kuwa Soya inayo sumu ndani yake, ambapo kama hujaiondoa Sumu hiyo, basi itasababisha matatizo mwilini.
Nimejaribu kwenda Google lakini maelezo yao hata siyaelewi!
Kaka zangu na Dada zangu nisaidieni ndugu yenu jinsi ya kuziondoa hizo sumu, asanti!
 
Msaada jamani, maana wengine tumekulia magetini hatujui 1 wala 2
 
Kwenye maganda yake ndo Kuna sumu hivyo unatakiwa unapoandaa uhakikishe hakuna maganda kabisa.
Kuna njia mbili za kutoa maganda kiurahisi. Njia ya kwanza unalaza soya kwenye maji usiku mzima then kesho yake unayaosha kwa kusugua na kuhakikisha ganda zote zimeondoka
Pia unaweza kutumia maji yanayochemshwa ukazitia humo zinalainika na kutoka maganda kwa wepesi
 
Asante
 
Njia nyingine ili iwe tamu na ubora wa juu ni kukaanga /kukaranga kama karanga iive kiasi inatosha kuondoa sumu
 
Back
Top Bottom