Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi ningependa kuuliza kwa Wah. Mawaziri Mkuchika na Mhagama hivi hii hali inayoendelea kwa watumishi wa umma nyie mnaiona sawa? Iwapo juhudi za mheshimiwa Rais zinaonekana mbona zenu hatuzioni...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Napenda kushare nanyi jambo moja ambalo ninauzoefu nalo sana, ndugu zangu wenye magari madogo hasa private kwa sasa epukeni safari za usiku kutokana na mabasi kuruhusiwa kutembea masaa 24...
21 Reactions
49 Replies
6K Views
1. Bomoa bomoa ya ubungo kimara imesitishwa hadi mwakani kupisha upanuzi wa mwendo kasi kuanzia kibo hadi kimara. 2. Estim wamekabidhiwa upanuzi wa kimara kibaha njia sita. Haya yamesemwa na...
3 Reactions
133 Replies
22K Views
Nilikuwa siamini pale ambapo Mtu Mmoja aliponiambia kuwa niwe makini na Simu yangu hasa nikiwa naongea mambo Nyeti na hakuishia tu hapo akaniambia kuwa niamini nisiamini Simu karibia zote za Watu...
12 Reactions
70 Replies
10K Views
Habari zenu wadau. Naomba kujuzwa neno Makeke lina maana gani
0 Reactions
30 Replies
18K Views
Wakuu. Ni hivi. Nilikuwa katika mkakati wa kuboresha maskani kwa maana ya kunua furniture mpya kuanzia sofa, Dining Table, TV, Vitando n. K. Nikasema nianze na sofa zuri kwa bajeti ya 2.5m. Mm...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Salaam wakuu? Naombeni tujadili kuhusiana na usafiri wa umma jijini Dar-es-Salaam. Wawezaje kulinda heshima yako wakati unapotumia usafiri wa daladala?watu tunapakiwa kama mizigo mtu na mtu, baba...
11 Reactions
56 Replies
5K Views
FIFA ilivyokataza serikali kuingilia maswala ya michezo hasa kwenye uendeshaji wa vilabu haikukosea walikuwa na maana kubwa, fikiria timu ya taifa ilivyokuwa na hali mbaya mtu badala adeal na timu...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
TEMBEA UONE: Nani anajua habari zaidi za hawa ndugu zetu,Binadam wenzetu, WaAfrika wenzetu?? Hawa ni jamii ya kabila la Vodama!! Ndugu zetu hawa wanaishi kwenye Wilaya ya Urungwa na Spolilo kando...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu mimi ni kijana wa miaka 25 nimekaa kwa bosi wangu kwa miaka mingi sana natamani kuondoka kwa bosi wangu na kwenda kupanga chumba naona umri umekwenda sana hapa nilipo na laki nane tu naona...
4 Reactions
117 Replies
14K Views
Wakuu tuko na washikaji hapa viwanja vya Kijitonyama katika bonanza lililopewa jina la TOT Bonanza, wenyewe watumiaji wa Twitter wanafahamu maana yake,wengi hapa pia ni watumiaji wa Twitter ila...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Zaidi ya wahamiaji 100 waliokuwa wakielekea Ulaya hawajulikani waliko na inahofiwa wamekufa maji baada ya boti walizokuwa wakisafiria kuzama katika pwani ya Libya. Hayo yamesemwa na Shirika la...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Geographically Africa is located on Lower pressure belts(LP) based on on interplanetary wind belt systems. Winds blows from high pressure to low pressure, so areas such as Nothern part of America...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu Habari za weekend!?! Kwanza nieleweke sina nia mbaya na efm wala majizo mwenyewe,bali kwa maoni yangu na maoni ya baadhi ya watu ile radio nayo kwa sasa inaongozwa na washamba. Hii radio...
7 Reactions
38 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa mtandao wa Alexa, mtandao wa JamiiForums unashika nafasi ya 7 kwa kutembelewa na watu wengi hapa nchini Tanzania. Lakini JamiiForums inashika nafasi ya kwanza kwa mitandao ya...
10 Reactions
88 Replies
21K Views
Kama wewe ni Engineer basi be proud of yourself regardless of what kind of enginner you are. Baada ya uumbaji wa Mungu wanaofuata baada ya hapo ni Engineers. Kwa harakaharaka unaweza usinielewe...
4 Reactions
84 Replies
7K Views
Wengi tupo mjini na wengi tupo maneo ya karibia na mjini, kwa wale ambao Mama zetu wanahitaji msaada kwetu na tunajua fika kuwa tukituma pesa walipo wazazi/ mzazi inakuwa ni msaada sana kwao ebu...
7 Reactions
86 Replies
8K Views
Palikuwa na mvuvi mmoja ambae ktk shughuli yake hiyo alijiwekea kanuni kwamba,endapo atakuwa baharini na ikatokea kuwa ametupa nyavu mara 3 na asipate kitu yaani zikatoka bila samaki basi siku...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Asili ya mwanadamu ni kubadilika na hii ni asili ya dunia na kila kiumbe kilichomo.Kila jambo na kila kitu huwa na tabia ya asili ya kubadilika kwa lugha za wenzetu husema "EVERYTHING CHANGE...
0 Reactions
0 Replies
470 Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, imefanikiwa kukamata kilo 300 za Dawa za Kulevya aina ya mirungi ambayo ilikuwa ikisafirishwa kwenda nchi za Ulaya hasa Uingereza...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom