People's Bank of Zanzibar (PBZ) wameanzisha mkopo wa boti kwa wavuvi ambao mkopo huu utasaidia wavuvi kununua vyombo vyao.
Wiki hii nimesikiliza tangazo lao kupitia redio ambapo wanamruhusu...
The preparation of this guide was supported by the United Nations Development Programme (UNDP) and Economic and Social Research Foundation (ESRF).
EXECUTIVE SUMMARY
Dodoma Region is a newly...
Marehemu Oscar Kambona alizaliwa mwaka 1925 katika kijiji cha Kwambe kilichopo mwambao mwa ziwa Nyasa, karibu na Mbamba-bay, wilaya ya Mbinga, Mkoa wa Ruvuma. Alikuwa mtoto wa marehemu Rev. David...
NUKUU YA LEO.
"Ujinga hauondoki kwa kumchukia mwenye akili, umasikini hauondoki kwa kumchukia tajiri, kuhesabu dhambi za mwenzio hakukufanyi wewe kuwa mtakatifu...,"
Nakutakia siku njema.
Kwenu wana JF habari za hapo ulipo
Niende kwenye mada miaka ya nyuma kulikuwa na utaratibu wa kuwaunganisha watumishi wana ndoa kuwa mume/mke alipata uhamisho wa kumfuata mwenza wote wakawa...
Kampuni ya uchapishaji wa magazeti ya Business Times ambayo hadi hivi majuzi ilikuwa ikimiliki magazeti matatu ya Business Times, Majira na Spoti Starehe imetangaza rasmi kufunga biashara...
Salaam ndugu wadau.
Kama heading inavyojieleza,hivi karibuni tangu tundu lisu apate nafuu na kuanza ziara uko ughaibuni,na kutaja maovu yanayofanyika Tanzania,kuna watu wanaweweseka na...
Ni muda mrefu sana wakulima wamehangaika kuhusu kuharibiwa mashamba na mazao yao na ndugu zetu Wamasai.
Hatuzungumzii sana Wasukuma na Wamang'ati (Wabarbeig) kwa kuwa hawa wako makini na ni mara...
Serikali imetumia zaidi ya shilingi bilioni 19 kukarabati shule kongwe 17 nchini lengo likiwa ni kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia katika shule hizo za kitaifa ambapo jukumu la...
Development of any nation depends very much from the development of human resources.
One of the underdeveloped resource in Tanzania is human resource despite the fact that development of human...
Waungwana wenzangu JF
Poleni na pilika pilika za maisha ya kila siku.
Katika mwitikio wa kujenga Nchi,
Kwa heshima na taadhima natafuta namba ya simu ya Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Menejimenti...
Miaka ile ya 90's wakati ndo naanza kujielewa huku mitaani kwetu wale waliokuwa na uwezo walikuwa wanauliziwa kama wako TRA au BANDARI maana ndo taasisi ambazo zilikuwa na upigaji wa kibabe.
Ila...
Wana jf kwa walio Arusha watakuwa mashahidi Wazuri kwa hili,
Jamani unywaji wa pombe Arusha hasa kwa vijana ni hatari sana, vijana wamegeuza pombe kuwa ndio Chai yao na ndio maji ya kunywa, ukiwa...
Nimekua Moshi kikazi kwa wiki 3 mfululizo. Na mm huwa napenda sana kuzurura mtaani.
Watu wanakula pombe Moshi jamani. Wanamlalamilia JPM lakini hapana. Wanayo mawe.
Nenda Hugos Garden , Q wine...
NITANGULIZE SHUKRAN ZANGU KWA WALUOHUSIKA
BAADA YA KULALAMIKA HAPA JINSI NJIA ZA RAINBOW -TANKIBOVU ZILIVYO CHIMBWA MASHIMO NA KUACHWA ZAIDI YA WIKI MBILI BILA KUWEKWA LAMI
HATIMAE WAMETUWEKEA...
Anaandika Mwamba wa Kaskazini, Ngarenaro
Leo nimesoma andiko la kiongozi wangu wa kiroho lakini akinena ya kidunia zaidi Baba Askofu Dkt. Munga.
Nikiwa muumini wa KKKT ni shuhuda wa uwezo na...
Unajua hapo nyuma kidogo mtu alikuwa anaoa mke anakuwa wake, Yaani ukioa, umeoa kweli.
Japokuwa matatizo ya hapa na pale ndani ya ndoa hayakosi, kipindi hicho yalikuwa ni ya kawaida sana, watu...
Ni kipi kinachokupa uhakika at any given point of time kwamba haupo ndotoni? Au ukaamshwa sasa hivi na ukajikuta upo kitandani, utabisha na kusema nirudisheni ndotoni?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.