Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini wadau,juzi nilikatiza bbc world news nikakutana na hard talk na mgeni mhojiwa alikua ni albert woodfox kwang ndo ilikua mara ya kwanza kumsikia nikasema ngoja nickilize mahojiano yake...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Mahakama ya Mwanzo ya Mwandiga Mkoani Kigoma, imemkuta na kesi ya kujibu Diwani wa Kata ya Mwanga Revocatus Kipando (Baba Levo), baada ya kutuhumiwa kufanya shambulio kwa Askari wa usalama...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Yule kijana aliyewahi kuwa billionea Africa Mashariki Na Kati nakupewa tuzo pamoja Na kuwa mfano mzuri was kuigwa Na vijana wengine kashutumiwa Na Finland kwa kuwatapeli Euro 84,000. Alifanikiwa...
7 Reactions
157 Replies
30K Views
Salam wana JF Nianze moja kwa moja na mada yangu Hivi karibuni mkulu amezindua miradi mikubwa miwili...moja ilikuwa ni wa Kijijin kwake chato akizindua mbuga ya wanyama ya Burigi chato aidha...
0 Reactions
3 Replies
940 Views
Kwa jua tulilonalo hapa Tanzania ambalo ni la uhakika na halina kusua sua,hatuna winter wala spring na upuuzi mwingine kama huo, jua kwetu ni mwaka mzima, UTAJIRI ULIOJE! Jua ndio chanzo cha...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ccm ndio chama dola kwa miaka100 ijayo.,kwa mazingira ya Tz yalivyo sijaona na hakuna chama mbadali zaidi ya Ccm. Licha ya kuwepo vyama vya siasa lakini vingi vipo kwa maslahi binafisi na sio...
0 Reactions
5 Replies
914 Views
Hivi hawa jamaa ambao wanakosaga nafasi za kujiunga na Jeshi na kuishia kuwa Walinzi wa magetini huwaga ni stress zinawasumbua au????[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48] Yani kama ni vyuoni jamaa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Salute Comrades.. NB. Mods weka uzi huu jukwaa la Intelligence. Imekua ikiaminika kwamba chaguo (Choices) tunayochagua ndio yanatueleza tulivyo. Kuna msemo kwenye Biolojia unasema " Every major...
12 Reactions
52 Replies
8K Views
Nimeibiwa simu techno camon x air maeneo ya mtongani jinsi kuipata kupitia polisi nianzie wapi au ushauri jinsi kuipata nje ya polisi hata kwa malipo na no yangu 0714584646
0 Reactions
2 Replies
870 Views
Watu wanaotumia nyama ya nguruwe wanatakiwa kuwa makini sana.Picha hii inaonesha moyo wa mtu ulio na tatizo linalojulikana kama Cardiac cysticercosis unaosababishwa na kula mayai ya minyoo wa...
5 Reactions
152 Replies
21K Views
Kwa mujibu wa taarifa za kusadikika, inamaanika neno "Duluti" ni jina la mwanamke aliyekuwa akiishi kule ukanda wa meru Mwanamke huyu alipotea katika mazingira ya kutatanisha, watu walimtafuta...
21 Reactions
193 Replies
30K Views
Mnada mkubwa wa kuuza viwanja, magari na nyumba zilizowekwa rehani na watu waliochukua mikopo kwenye benki umetangazwa jijini Dar es Salaam, baada ya wahusika kushindwa kurejesha. Benki ya EFC ya...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwa wale wanaouguza wagonjwa hasa wa homa ya ini na matabibu wataunga mkono hoja,dawa pekee ambazo humpa nafuu mgonjwa ni truvada ila Cha kusikikitisha dawa hizi zimekua adimu Hali inayoathiri...
1 Reactions
7 Replies
901 Views
Habari za jion wakuu Mwenye kufaham namna ya kutoa pesa kutoka umojaswitch maana nilikuwa natransfer pesa kutoka azania bank kwenda mpesa cha ajabu naona wameipeleka huko(umojaswitch). Na mimi...
0 Reactions
1 Replies
649 Views
#MJINGA: Mjinga akimaliza darasa la saba, anaanza biashara ya kuuza mkaa halafu atachoma mahindi, atauza miwa na atalima viazi. Baada ya miaka miwili, atafungua duka la nguo, atasafiri kwenda Dar...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani eeh, Nahitaji mawazo nifanye maamuzi. Sasa hivi nimtumiaji wa Vodacom na Tigo. Nilikuwa mmoja wa wanufaika wa vifurushi vyao vya chuo ila sasa hali ni tete kote. VODA NA TIGO vifurushi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasukumwa jela miaka 20 kwa kukutwa na Nyama ya Pundamilia Mahakama ya Hakimu mkazi mfawidhi wilaya ya Serengeti Mkoani Mara, leo Julai 26, 2019, imewahukumu miaka 20 jela kila mmoja washtakiwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
KUTOKANA NA TATIZO LA MIFUKO YA HIFADHI KAMA NSSF KULETA MZUNGUKO KWENYE KURUDISHA MAFAO YA WAAJIRIWA WANAPOACHA KAZI. Nimeona nikumbushe namna bora ya kutengeneza NSSF yako mwenyewe kwa...
7 Reactions
26 Replies
5K Views
Wazee wenzangu, kimfaacho mtu chake, nimekwama kidogo nauza bracelet (bangili) ina gram kama zipatazo 42 hivi. Sasa huku nilienda kwa masonara kama wawili hivi wakasema hawanunui. Kama kuna mtu...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Chagua moja hapa: 1. Thamani ya simu yake ni kama ya mzazi wako aliyekuzaa, 2. Thamani ya simu yake iko juu zaidi ya yakwako 3. Thamani ya simu yake inakaribiana na yakwako 4. Thamani ya simu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom