Pongezi za dhati kwa ule Mtambo wa Kimawasiliano wa Kijasusi kutoka Israeli ambao sasa unafanya Kazi Kubwa Tanzania

cleverbright

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Messages
1,774
Points
2,000

cleverbright

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2015
1,774 2,000
Nilikuwa siamini pale ambapo Mtu Mmoja aliponiambia kuwa niwe makini na Simu yangu hasa nikiwa naongea mambo Nyeti na hakuishia tu hapo akaniambia kuwa niamini nisiamini Simu karibia zote za Watu Maarufu nchini Tanzania wawe wa Kisiasa na Kijamii zinasikilizwa na Watu Maalum nchi hii na kwamba kuna Siku baadhi ya Watanzania watakuja Kuumbuka na hatimaye sasa wanaanza Kuumbuka na Kuumbuliwa.

Sasa naanza Kuona ule Ushirikiano wenu na Taifa la Watu Werevu pengine kuliko wengine hapa duniani la Israeli hadi miaka miwili iliyopita wakatupa Mtambo Maalum wa Kudukua Mawasiliano ya Watu bila Wao Kujijua kwa matumizi ya Kiusalama umeanza Kufanya Kazi na huenda Siku si nyingi Watanzania tukaja Kusikia Udukuzi wa Sauti zingine ambazo tunaweza tusiamini Macho au Masikio yetu kama Walengwa wangeweza kuzungumza / kusema waliyoyasema humo.

Kwa taarifa za chini chini kabisa ambazo bado naendelea Kuzithibitisha nimedokezewa ya kwamba baada ya Kusikia Udukuzi wa Sauti za waliotangulia basi tayari Mtambo huo huo wa Kimawasiliano wa Kijasusi kutoka nchini Israeli Watanzania sasa tujiandae kuanza Kuzisikia Sauti za Watu Wawili ambapo Mmoja alikuwa na Dhamana ya Kikatiba ya nchi hii pamoja na Mwanae ambaye kuna muda nae aliichafua nchi hii kwa aina ya Biashara yake Haramu aliyokuwa akiifanya akiwa anazungumza na Watu ambao wanatuhumiwa sasa katika Sauti zinazosikika.

Rai yangu Kwako / Kwenu kuweni makini na Simu zenu kwani Mtambo wa Kimawasiliano wa Kijasusi wa Kiyahudi ( Israeli ) hauna Masihara ambapo ukikuamulia Kukudukua Kuanzia Sauti yako na hata Meseji zako za Simu unaweza Kufanya hivyo muda na wakati wowote ule. Ndiyo sitaki na wala sipendi Siasa kwani nimegundua kuwa Siasa ni Mchezo wa Kutafutana ambao umejaa Unafiki, Chuki na Fitna nyingi mno.

Poleni sana kwa wale ambao yamewakuta.
 
tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Messages
13,531
Points
2,000

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2014
13,531 2,000
Hii yote unatetea watu wasiotakwa na wananchi.

Watanzania hawaitaki kabisa CCM Mungu saidia litoke hili joka.

Poleni watumishi
 
kongobelo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2012
Messages
385
Points
500

kongobelo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2012
385 500
Nilikuwa siamini pale ambapo Mtu Mmoja aliponiambia kuwa niwe makini na Simu yangu hasa nikiwa naongea mambo Nyeti na hakuishia tu hapo akaniambia kuwa niamini nisiamini Simu karibia zote za Watu Maarufu nchini Tanzania wawe wa Kisiasa na Kijamii zinasikilizwa na Watu Maalum nchi hii na kwamba kuna Siku baadhi ya Watanzania watakuja Kuumbuka na hatimaye sasa wanaanza Kuumbuka na Kuumbuliwa.

Sasa naanza Kuona ule Ushirikiano wenu na Taifa la Watu Werevu pengine kuliko wengine hapa duniani la Israeli hadi miaka miwili iliyopita wakatupa Mtambo Maalum wa Kudukua Mawasiliano ya Watu bila Wao Kujijua kwa matumizi ya Kiusalama umeanza Kufanya Kazi na huenda Siku si nyingi Watanzania tukaja Kusikia Udukuzi wa Sauti zingine ambazo tunaweza tusiamini Macho au Masikio yetu kama Walengwa wangeweza kuzungumza / kusema waliyoyasema humo.

Kwa taarifa za chini chini kabisa ambazo bado naendelea Kuzithibitisha nimedokezewa ya kwamba baada ya Kusikia Udukuzi wa Sauti za waliotangulia basi tayari Mtambo huo huo wa Kimawasiliano wa Kijasusi kutoka nchini Israeli Watanzania sasa tujiandae kuanza Kuzisikia Sauti za Watu Wawili ambapo Mmoja alikuwa na Dhamana ya Kikatiba ya nchi hii pamoja na Mwanae ambaye kuna muda nae aliichafua nchi hii kwa aina ya Biashara yake Haramu aliyokuwa akiifanya akiwa anazungumza na Watu ambao wanatuhumiwa sasa katika Sauti zinazosikika.

Rai yangu Kwako / Kwenu kuweni makini na Simu zenu kwani Mtambo wa Kimawasiliano wa Kijasusi wa Kiyahudi ( Israeli ) hauna Masihara ambapo ukikuamulia Kukudukua Kuanzia Sauti yako na hata Meseji zako za Simu unaweza Kufanya hivyo muda na wakati wowote ule. Ndiyo sitaki na wala sipendi Siasa kwani nimegundua kuwa Siasa ni Mchezo wa Kutafutana ambao umejaa Unafiki, Chuki na Fitna nyingi mno.

Poleni sana kwa wale ambao yamewakuta.
Mkuu malizia na 'mwenye kusikia na asikie...
 
Forum statistics

Threads 1,382,054
Members 526,258
Posts 33,818,472
Top