Mara ya mwisho kumtumia mama yako pesa lini bila kuombwa?

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Wengi tupo mjini na wengi tupo maneo ya karibia na mjini, kwa wale ambao Mama zetu wanahitaji msaada kwetu na tunajua fika kuwa tukituma pesa walipo wazazi/ mzazi inakuwa ni msaada sana kwao ebu swali hili linatuhusu, tujitafakari na tusikie wengi kama wameguswa na si ajabu kuanzia leo watachukua hatua.

Mara ya mwisho kumtumia mama yako pesa lini bila kuombwa?
 
Nashukuru mungu hilo kwangu ni kawaida
Kila nkipokea mshahara nawapa
Pia hata katikat ya mwez nawapa

Hua wananipigia Wanasem ahsante mwanetu... Nafurah moyoni
Kesho yake napata mala kumi zaidi
Kumbe we mjanja sana wengine lazima tujifunze kutoka kwako
 
Mimi Nina standing order kwenye account. Kila mwisho wa mwezi automatically hela inatumwa kwenye account yake. Yani iyo hela nilishaitoa kwenye mahesabu yangu. Mwenyewe anasemaga mshahara wake, na anafurahi sana kwakweli. Na Mara my engine pia huwa namfanyia shopping ya vyakula unga mchele mafuta ya kupikia sabuni ATC namjazia hapo kwake. Najisikia fahari sana kufanya ivi.
 
Mimi Nina standing order kwenye account. Kila mwisho wa mwezi automatically hela inatumwa kwenye account yake. Yani iyo hela nilishaitoa kwenye mahesabu yangu. Mwenyewe anasemaga mshahara wake, na anafurahi sana kwakweli. Na Mara ingine pia huwa namfanyia shopping ya vyakula unga mchele mafuta ya kupikia sabuni etc namjazia hapo kwake. Najisikia fahari sana kufanya ivi.
 
Wengi tupo mjini na wengi tupo maneo ya karibia na mjini, kwa wale ambao Mama zetu wanahitaji msaada kwetu na tunajua fika kuwa tukituma pesa walipo wazazi/ mzazi inakuwa ni msaada sana kwao ebu swali hili linatuhusu, tujitafakari na tusikie wengi kama wameguswa na si ajabu kuanzia leo watachukua hatua.

Mara ya mwisho kumtumia mama yako pesa lini bila kuombwa?
nafanya kila muda na kila siku amabayo nina pesa hata kama hajaniomba na nitafanya always mungu atakapo kua ananipa uwezo....i love her so much
 
Back
Top Bottom