James88
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 1,700
- 1,765
Kama wewe ni Engineer basi be proud of yourself regardless of what kind of enginner you are. Baada ya uumbaji wa Mungu wanaofuata baada ya hapo ni Engineers.
Kwa harakaharaka unaweza usinielewe lkn nakupa challenge. Hapo ulipo hebu kifikirie kila kitu kinachokuzunguka kuanzia nguo ulizovaa halafu ujijibu mwenyewe kwamba ni asilimia ngapi ya vitu vinavyokuzunguka au components za hivyo vitu vimetengenezwa kutoka kiwandani.