Ama kweli dunia ina mambo

monotheist

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
720
943
TEMBEA UONE: Nani anajua habari zaidi za hawa ndugu zetu,Binadam wenzetu, WaAfrika wenzetu?? Hawa ni jamii ya kabila la Vodama!! Ndugu zetu hawa wanaishi kwenye Wilaya ya Urungwa na Spolilo kando kando ya mto Mwazaramunda kwemye mkoa wa Kanyemba kaskazin mwa Zimbabwe!! Kabila lao wako wote miguu iko hivo na mtu asiye na miguu kama wao kwa ni adui!! Hutegemea kuwinda, kuvua samaki, na kufuga nyuki!! Wao hurina asali wakati wowote hata kama ni jua lawaka kiasi gani hawaogopi nyuki!! Nyoka hata kama ni koboko, fira kobra wao humkamata kama vile anaokota mkanda wa suruali!!
FB_IMG_1564298809470.jpg
FB_IMG_1564298818573.jpg
FB_IMG_1564298824468.jpg
 
TEMBEA UONE: Nani anajua habari zaidi za hawa ndugu zetu,Binadam wenzetu, WaAfrika wenzetu?? Hawa ni jamii ya kabila la Vodama!! Ndugu zetu hawa wanaishi kwenye Wilaya ya Urungwa na Spolilo kando kando ya mto Mwazaramunda kwemye mkoa wa Kanyemba kaskazin mwa Zimbabwe!! Kabila lao wako wote miguu iko hivo na mtu asiye na miguu kama wao kwa ni adui!! Hutegemea kuwinda, kuvua samaki, na kufuga nyuki!! Wao hurina asali wakati wowote hata kama ni jua lawaka kiasi gani hawaogopi nyuki!! Nyoka hata kama ni koboko, fira kobra wao humkamata kama vile anaokota mkanda wa suruali!!View attachment 1165262View attachment 1165263View attachment 1165264
Tanzania wapo ukoo wenye miguu kama hao. Nimewashuhudia kwa macho yangu hapo Matundas, Chunya Tanzania.
 
Tanzania wapo ukoo wenye miguu kama hao. Nimewashuhudia kwa macho yangu hapo Matundas, Chunya Tanzania.
@FaizaFoxy

Leo hujatenda haki aslani.
Umemuacha bila fimbo ah
Fimbo kwa uchafuzi wake
Uchafuzi wa lugha yetu tu
Amepoteza maana ya uzi
Kulonga HAMA bila kuhama
Alonga HAMA ila ni AMA
Huu usamaria wako eeeh
Lini umeuanza bibi kizee
Mpe haki yake FaizaFoxy

Bazazi
 
@FaizaFoxy

Leo hujatenda haki aslani.
Umemuacha bila fimbo ah
Fimbo kwa uchafuzi wake
Uchafuzi wa lugha yetu tu
Amepoteza maana ya uzi
Kulonga HAMA bila kuhama
Alonga HAMA ila ni AMA
Huu usamaria wako eeeh
Lini umeuanza bibi kizee
Mpe haki yake FaizaFoxy

Bazazi
Tatizo swahili ngumu
 
Back
Top Bottom