Hawa watu wanakotoka inaweza kuwa wana matatizo kiasi cha kuona kifo ni cha kawaida kwao...

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542

1564215776152.png

Zaidi ya wahamiaji 100 waliokuwa wakielekea Ulaya hawajulikani waliko na inahofiwa wamekufa maji baada ya boti walizokuwa wakisafiria kuzama katika pwani ya Libya.

Hayo yamesemwa na Shirika la Wahamiaji la Umoja wa Mataifa, IOM, pamoja na walinzi wa pwani nchini Libya.

Ayoub Gassim, ambaye ni msemaji wa walinzi wa pwani nchini Libya, ameliambia shirika la habari la Associated Press kuwa boti mbili zilizowabeba takriban wahamiaji 300 zilizama yapata kilomita 120 mashariki mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli.

Ameongeza kuwa wahamiaji 137 waliokolewa na kurudishwa Libya, lakini hadi sasa walinzi wa pwani wamefaulu kuopoa mwili mmoja pekee.

Charlie Yaxley ambaye ni msemaji wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR, amesema wanakadiria kuwa wahamiaji 150 miongoni mwao wanawake na watoto, hawajulikani waliko na wanahofiwa kufa maji.
 
Ndicho walichokuwa wanakitaka.. Huo ndio Uhuru waliokuwa wanautafuta mpaka wakaingia msituni Kwa kudanganywa na wazungu kwamba Gaddafi hafai kuwaongoza..
Sio wote ni walibya, halafu watoto nao walidanganywa na wazungu?
 
Ethiopia ina toa wakimbizi sana nime angalia hii taarifa wengi wao walikuwa Waethiopia na dhani nchi yao kisiasa na kiuchumi kuna tatizo Libya kwa sasa ina hali mbaya sana ya kiusalama lakini watu bado wanaenda kutafuta njia ya short cut kwenda ulaya kupitia Italy wanatumia boti zisizo faa na wanajazana kupita uwezo wa boti
 
Ethiopia kuna tabia nchi ya ujangwa kwa kiasi kikubwa ndio maana wananchi wa huko wanahama sana kwenda nchi za nje kutafuta unafuu wa maisha

Kuna haja ya dunia kukaa kujadili na kuafikiana kuhusu Sheria na sera za Uhamiaji, ajira na biashara kiujumla ili matatizo kama haya yaishe
 
View attachment 1164246
Zaidi ya wahamiaji 100 waliokuwa wakielekea Ulaya hawajulikani waliko na inahofiwa wamekufa maji baada ya boti walizokuwa wakisafiria kuzama katika pwani ya Libya.

Hayo yamesemwa na Shirika la Wahamiaji la Umoja wa Mataifa, IOM, pamoja na walinzi wa pwani nchini Libya.

Ayoub Gassim, ambaye ni msemaji wa walinzi wa pwani nchini Libya, ameliambia shirika la habari la Associated Press kuwa boti mbili zilizowabeba takriban wahamiaji 300 zilizama yapata kilomita 120 mashariki mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli.

Ameongeza kuwa wahamiaji 137 waliokolewa na kurudishwa Libya, lakini hadi sasa walinzi wa pwani wamefaulu kuopoa mwili mmoja pekee.

Charlie Yaxley ambaye ni msemaji wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR, amesema wanakadiria kuwa wahamiaji 150 miongoni mwao wanawake na watoto, hawajulikani waliko na wanahofiwa kufa maji.
Usikute wazungu wametoboa izo boti na kuwazamisha maana washachoka kupokea wakimbizi huko ulaya
 
Ndicho walichokuwa wanakitaka.. Huo ndio Uhuru waliokuwa wanautafuta mpaka wakaingia msituni Kwa kudanganywa na wazungu kwamba Gaddafi hafai kuwaongoza..
Acha mindset mfuu ndio maana hata Nyerere ngatuka kwan yeye alikua Mungu awa kutawara milele
 
View attachment 1164246
Zaidi ya wahamiaji 100 waliokuwa wakielekea Ulaya hawajulikani waliko na inahofiwa wamekufa maji baada ya boti walizokuwa wakisafiria kuzama katika pwani ya Libya.

Hayo yamesemwa na Shirika la Wahamiaji la Umoja wa Mataifa, IOM, pamoja na walinzi wa pwani nchini Libya.

Ayoub Gassim, ambaye ni msemaji wa walinzi wa pwani nchini Libya, ameliambia shirika la habari la Associated Press kuwa boti mbili zilizowabeba takriban wahamiaji 300 zilizama yapata kilomita 120 mashariki mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli.

Ameongeza kuwa wahamiaji 137 waliokolewa na kurudishwa Libya, lakini hadi sasa walinzi wa pwani wamefaulu kuopoa mwili mmoja pekee.

Charlie Yaxley ambaye ni msemaji wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR, amesema wanakadiria kuwa wahamiaji 150 miongoni mwao wanawake na watoto, hawajulikani waliko na wanahofiwa kufa maji.

Zamani waafrika walikuwa wanauzwa utumwani tukapigania uhuru, haya tumepewa uhuru tukatawaliwa na weusi wenzetu, matokeo tunaenda kujiuza wenyewe tena kwa kutoroka. Stupid Africa. Wakifika huko akina dada wanaenda kujiuza tu. Inauma sana
 
View attachment 1164246
Zaidi ya wahamiaji 100 waliokuwa wakielekea Ulaya hawajulikani waliko na inahofiwa wamekufa maji baada ya boti walizokuwa wakisafiria kuzama katika pwani ya Libya.

Hayo yamesemwa na Shirika la Wahamiaji la Umoja wa Mataifa, IOM, pamoja na walinzi wa pwani nchini Libya.

Ayoub Gassim, ambaye ni msemaji wa walinzi wa pwani nchini Libya, ameliambia shirika la habari la Associated Press kuwa boti mbili zilizowabeba takriban wahamiaji 300 zilizama yapata kilomita 120 mashariki mwa mji mkuu wa Libya, Tripoli.

Ameongeza kuwa wahamiaji 137 waliokolewa na kurudishwa Libya, lakini hadi sasa walinzi wa pwani wamefaulu kuopoa mwili mmoja pekee.

Charlie Yaxley ambaye ni msemaji wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa, UNHCR, amesema wanakadiria kuwa wahamiaji 150 miongoni mwao wanawake na watoto, hawajulikani waliko na wanahofiwa kufa maji.
Niliona interview moja
Wakisema ni either afie baharini ama afike ulaya
Lakini si kurudi nyumbani
Nilipata sikitiko kuu moyoni mwangu
 
Kwa kiasi kikubwa kikundi cha wachache waliokuwa na uchu wa madaraka kupitia propaganda za wamarekani wamesababisha maelfu ya walibya kuiona nchi yao kama jehanam.

Wamarekani wanabeba tu mafuta watakavyo kwa sasa. Hakuna kitu muhimu kama amani
 
Libya ni gateway tu. Hao wahamiaji wengi wanatoka West Africa. Libya kwa kuwa hakuna Serikali, kuna makundi ya watu wanatoza pesa ku smuggle black Africans na ni biashara inayolipa sana kwa hao smugglers.
Mtu anatoka Nigeria mpaka Libya, then anawalipa hao smugglers ku cross the desert kuifikia pwani, then analipa smugglers tena kuingia kwenye boti.
Ikitokea wamekamatwa na Libyan coast guards na kurudishwa Libya ndio wanawekwa kwenye makambi wanakuwa hawana pesa na hawana chochote wapo stranded Libya, ndio hata ule utumwa unaanzia hapa. Kuna waafrika weusi wengi wamekwama Libya kwenye makambi hawawezi kurudi makwao kwa kuwa hawana kitu. Cha ajabu hizi taarifa zipo lkn Serikali zao hazichukui hatua za kuwarudisha.
Kuna waafrika wanaishi porini Morocco kule karibu na mpaka wa Spain ( close to Melilla) kwa miaka kadhaa wakijaribu kuvuka razor sharp fence kuingia Spain lkn wanakwama na kurudi porini hawataki kurudi Afrika.
Serikali za Afrika hasa Magharibi hazijalichukulia hili ni janga la kibinadamu. Umoja wa Ulaya umeshalichukulia hili kwa uzito kiasi kwamba sasa wanafadhili coast guards za Libya na Morocco ili wawazuie kabla hawajaingia Ulaya. Maana wakikutwa baharini na meliza mashirikia ya kuhudumia binadamu ya ulaya wanapelekwa Ulaya kitu ambacho kinawachefua watu wa Ulaya hasa Italy ambapo Lampedusa ndio kituo kikuu cha wahamiaji.
Ndicho walichokuwa wanakitaka.. Huo ndio Uhuru waliokuwa wanautafuta mpaka wakaingia msituni Kwa kudanganywa na wazungu kwamba Gaddafi hafai kuwaongoza..
 
Ndicho walichokuwa wanakitaka.. Huo ndio Uhuru waliokuwa wanautafuta mpaka wakaingia msituni Kwa kudanganywa na wazungu kwamba Gaddafi hafai kuwaongoza..

Acha uongo hakuna mlibya anayevuka meditteranian sea kwenda ulaya, hao wengi kama sio wote ni kutoka west Africa..Ila walibya ndio huchukua fedha zao na kuwavusha kwenye hizo boat huku wao wakibaki..
 
Ethiopia ina toa wakimbizi sana nime angalia hii taarifa wengi wao walikuwa Waethiopia na dhani nchi yao kisiasa na kiuchumi kuna tatizo Libya kwa sasa ina hali mbaya sana ya kiusalama lakini watu bado wanaenda kutafuta njia ya short cut kwenda ulaya kupitia Italy wanatumia boti zisizo faa na wanajazana kupita uwezo wa boti

Ethiopia ni moja kati ya Taifa linalotoa wakombizi wengi sana
nadhani ata kuzaliana wako vizuri maana nchi ingebaki bila watu sasa
 
Tatizo ni viongozi weusi wa Africa wameshindwa kuzifanya nchi zao kuwa pahala salama kuishi kwa watu kiendesha maisha yao kwanamna nzuri.
 
Libya imeharibiwa makusudi na mabeberu na hawataki iwe stable kwa sababu zilizo wazi kabisa, wanachota mafuta kama wanavyofanya kule Iraq

Mabeberu wakiongozwa na Marekani sio binadamu wale. Hawathamini maisha ya watu hasa wa race nyingine isiyokua wazungu na wako tayari kuangamiza kizazi kizima kwa hila wakiwa na malengo mabalimbali ikiwa ni pamoja na kupora rasilimali

Hizo boti zinazozama nyingine hua wanazizamisha wenyewe kwa makusudi hao mabeberu na vile wamehodhi na kudhibiti vyombo vikubwa vya habari wanatoa taarifa za uongo wakijifanya wao ndio wasamaria wema, kwamba wamefanya juhudi za uwokozi
 
Back
Top Bottom